Wanasiasa wetu mnatuangusha, eti mnafuata uchawi Tanzania

NAOMBA TAFADHALI SANA SEMA MIKENYA MMELAANIWA MAANA MTU ANAYE DHARAU KWAO NI MWENDAWAZIMU MTUMWA WA HALI YA JUU YEYE NA KIZAZI CHAKE MILELE YOTE, hakika umelaaniwa milele yote MK254!

Napenda kwetu, lakini nachukia upumbavu wa Kiafrika, aibu za kijinga za kuchekwa eti mnatafuna minofu ya albino ndio muwe matajiri, ovyo kabisa tena nadharau hadi basi.
 
Hapa mnazungumzia waganga miti shamba ama hawa wa kufanya mazingaombwe? There is difference btwn the two.

Hapa Kenya, waganga miti shamba is completely legal mradi tu uwe na cheti cha serikali. Na kuna wakati walikuwa wakidemand kutoitwa waganga mbali madaktari miti shamba.

Ule aina mwingine ya uganga is illegal, it is prosecutable by law.
Uganga wa mizimu na maaguzi ndio ninaoumaanisha. Kwa taarifa tu mitishamba haiko mbali sana na uganga wa matunguli, maana dawa zinazotumika matungulini ni mitishamba pia.
Hapa kwetu Tanganyika kila kitu ni legal na acceptable...
 
We know the politicians are not going there for medical treatment. Its rear to hear of Kenyans going to TZ for treatment.
This is definitely sorcery and wizardry. Seeking advantage from the underworld to get to high office.
However, what does it profit a man to gain the whole world and loose his soul.
And we know, the blessings from God are yeah and amen. Thinking of Shusho's song.
No wonder albinos are killed to fuel this sorcery.
By the way, what's the % of Christians in TZ?
 
Hehehehe!! Haya bwana, ila nyie noma kwenye hiyo taaluma sasa mbona msiitumie katika kuifanya nchi iwe kwenye dunia ya kwanza.
Mkuu bongo ni nchi ya wajanja, hao wanasiasa wanapigwa pesa tu, Wajinga ndio waliwao.
 
We know the politicians are not going there for medical treatment. Its rear to hear of Kenyans going to TZ for treatment.
This is definitely sorcery and wizardry. Seeking advantage from the underworld to get to high office.
However, what does it profit a man to gain the whole world and loose his soul.
And we know, the blessings from God are yeah and amen. Thinking of Shusho's song.
No wonder albinos are killed to fuel this sorcery.
By the way, what's the % of Christians in TZ?

By the way we are losing % of Christians in Tanzania, they are reducing by large number. Even the few remaining ones like akina kadoda11 are surprisingly not so Christian, hope you've seen how they normally cheer alshabaab attacks, most of them have converted inadvertently.
 
Mkuu bongo ni nchi ya wajanja tu, hao wanasiasa wanapigwa pesa tu. Wajinga ndio waliwao.

Mbavu zangu, aisei nimecheka sana. Ni kweli maana kuna wale hata baada ya kuja Bongo kutafuta hizo nguvu za kichawi bado waliishia kupigwa chini, sasa sijui watarudi huko kudai hela zao au inakuaje.
 
Kuna watu wengi hufa hata baada ya kwenda hospitalini, acheni unaa.
 
Back
Top Bottom