K kela72 Senior Member Joined May 5, 2008 Posts 168 Reaction score 2 Nov 17, 2008 #2 Mh, mzee wa TOT anasikilizia kabisa kiuno!! Duh, huyu mama ninani?
Majita JF-Expert Member Joined Jan 13, 2008 Posts 609 Reaction score 191 Nov 17, 2008 #3 kwikwikwikwikwi kweeeee,mimi vidole hivyo vya bwana komba tu
Kaa la Moto JF-Expert Member Joined Apr 24, 2008 Posts 7,904 Reaction score 1,064 Nov 17, 2008 #4 😀 GT naye bwana we.! kwani kuna kosa gani hawa wanasiasa kucheza? Au niseme what is special in this picture?
😀 GT naye bwana we.! kwani kuna kosa gani hawa wanasiasa kucheza? Au niseme what is special in this picture?
D Dungulee Member Joined Oct 23, 2008 Posts 17 Reaction score 1 Nov 17, 2008 #5 duuu hiyo ilikua ni msondo ama wananjenje?naona mzee komba anakomaa na jimama hahahahahahah!!!!!Kweli kazi na dawa
duuu hiyo ilikua ni msondo ama wananjenje?naona mzee komba anakomaa na jimama hahahahahahah!!!!!Kweli kazi na dawa