Wanasiasa wote wa Kiume Wake zao wangekuwa wazuri kama wa Lema ingependeza sana

Wanasiasa wote wa Kiume Wake zao wangekuwa wazuri kama wa Lema ingependeza sana

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Katika kufuatilia fuatilia Wake za Wanasiasa hapa nchini Tanzania jana ndiyo nimegundua kuwa kumbe Lema alikuwa na maana yake alivyokuwa analia, kukonda na kung'ang'ania kutoka Kolokoroni alikokuwa kwa takribani siku 121.

Ukweli ni kwamba Mke wa Mbunge wa Arusha mjini Godbless Jonathan Lema aitwae Neema ni Mrembo hasa na leo nidiriki tu kusema ukweli wangu wa kutoka moyoni kabisa kuwa sijawahi kuona Mwanasiasa wa Kiume hapa Tanzania tokea ipate Uhuru wake mwaka 1961 mwenye Mke mzuri na mrembo wa kweli kabisa kama Mke wa Lema.

Neema Mke wa Mbunge Lema ana.......

  1. Tabasamu zuri
  2. Macho mazuri
  3. Komwe zuri
  4. Miguu myembamba inayokubali Nguo zozote na hali ya hewa yoyote ile
  5. Meno yake yamejipanga na yamepangika kimwonekano
  6. Ana superb body structure kuanzia mabegani Kwake hadi Magotini
  7. Anajua kupangilia nguo vizuri na zinampendeza hasa
Enyi Wanasiasa wengine wa Kiume wa Tanzania igeni kwa mwenzenu Mbunge Lema kwa kujua kuchagua Mke very photogenic kwani yawezekana Lema anafanikiwa sana Kisiasa kutokana na ushirikiano mzuri wa Kiurembo kutoka kwa Mkewe ambao humtia moyo Mumewe na kuweza kuchapa kazi vizuri na kuwa Mtendaji na Mwanasiasa mzuri.

Kuna wengine Wake zenu huwa kila nikiwaona nao huwa najiuliza mlioa wenyewe kwa Utashi wenu au mlikabidhishwa tu Kimila hivyo kama mngewakataa mngelaaniwa!

Sijui na Mimi nitapata wapi Mke mzuri kama wa Mbunge wa Arusha mjini Mheshimiwa Godbless J. Lema Dada Neema ili nami niweze kutamba nae mjini hapa.
 
Yani maneno yoote hayo na picha hujaweka! Si tutajuaje?


☆Steve
 
Back
Top Bottom