ndayilagije
JF-Expert Member
- Nov 7, 2016
- 7,491
- 8,304
Usitamani mke asiyekuwa wako!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rwandaise,tutsi ethinic.Hivi mke wa Daudi Bashite ni kabila gani?
Acha uongo,ni mnyarwandaNi mchaga alikuwa anaishi sanawari ya juu arusha. Kabla hajaolewa
Ok bas no Nlijua mchaga kwa sbb mama yake ni mchaga ila sijui baba ni kabila gan.Acha uongo,ni mnyarwanda
Katika kufuatilia fuatilia Wake za Wanasiasa hapa nchini Tanzania jana ndiyo nimegundua kuwa kumbe Lema alikuwa na maana yake alivyokuwa analia, kukonda na kung'ang'ania kutoka Kolokoroni alikokuwa kwa takribani siku 121.
Ukweli ni kwamba Mke wa Mbunge wa Arusha mjini Godbless Jonathan Lema aitwae Neema ni Mrembo hasa na leo nidiriki tu kusema ukweli wangu wa kutoka moyoni kabisa kuwa sijawahi kuona Mwanasiasa wa Kiume hapa Tanzania tokea ipate Uhuru wake mwaka 1961 mwenye Mke mzuri na mrembo wa kweli kabisa kama Mke wa Lema.
Neema Mke wa Mbunge Lema ana.......
Enyi Wanasiasa wengine wa Kiume wa Tanzania igeni kwa mwenzenu Mbunge Lema kwa kujua kuchagua Mke very photogenic kwani yawezekana Lema anafanikiwa sana Kisiasa kutokana na ushirikiano mzuri wa Kiurembo kutoka kwa Mkewe ambao humtia moyo Mumewe na kuweza kuchapa kazi vizuri na kuwa Mtendaji na Mwanasiasa mzuri.
- Tabasamu zuri
- Macho mazuri
- Komwe zuri
- Miguu myembamba inayokubali Nguo zozote na hali ya hewa yoyote ile
- Meno yake yamejipanga na yamepangika kimwonekano
- Ana superb body structure kuanzia mabegani Kwake hadi Magotini
- Anajua kupangilia nguo vizuri na zinampendeza hasa
Kuna wengine Wake zenu huwa kila nikiwaona nao huwa najiuliza mlioa wenyewe kwa Utashi wenu au mlikabidhishwa tu Kimila hivyo kama mngewakataa mngelaaniwa!
Sijui na Mimi nitapata wapi Mke mzuri kama wa Mbunge wa Arusha mjini Mheshimiwa Godbless J. Lema Dada Neema ili nami niweze kutamba nae mjini hapa.
nobody is ugly man just broke we hushangai hamnaga demu mbaya wa getiniSijaelewa hata neno moja
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]ungetuwekea ata picha nimpigie ata nyeto mana nishamalizana na halima mdee kwa sasa
Usitamani mke asiyekuwa wako!
usitamani mwanamke asiye mke wako.
Mama yake Maria mchaga?mama yake Maria ni mnyarwanda.Maria mke wa Daudi Bashite.Ok bas no Nlijua mchaga kwa sbb mama yake ni mchaga ila sijui baba ni kabila gan.
Hata Wa bashite nae ni mremboVipi wa bar..shee teee yupoje
Aiseeungetuwekea ata picha nimpigie ata nyeto mana nishamalizana na halima mdee kwa sasa
Prof unadhani ata mi nashida nae basi mwache lema ajilie vyake me na shida na picha yake tuu ata kumuona me sitaki[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
No, tusihutu
Nimeona watutsi wa Rwanda wamemfollow Daudi Bashite Istagram huenda ni sababu asili ya mke wake.Rwandaise,tutsi ethinic.
Uhamiaji iwachunguze hao wanyarwanda.Mama yake Maria mchaga?mama yake Maria ni mnyarwanda.Maria mke wa Daudi Bashite.
Prof unadhani ata mi nashida nae basi mwache lema ajilie vyake me na shida na picha yake tuu ata kumuona me sitaki
kama uko na picha yake ukanisaidia itakuwa poa sanaa