Simba moja nguvu moja.. Ushindi daima..!!!simba ya safari hii imenikatisha tamaa, yaani manara na boss wake wana nyambuana!
bora tupigwe 4 bila ili tujenge nidhamu.
Pamoja sana.[emoji1548][emoji1548][emoji1548][emoji1534][emoji1534][emoji817][emoji817][emoji736][emoji736][emoji2996][emoji2996][emoji2996][emoji2996]THIS IS SIMBA
Nyie kimoko kinawatosha.Simba moja nguvu moja.. Ushindi daima..!!!
Simba moja nguvu moja.. Ushindi daima..!!!
Simba moja nguvu moja.. Ushindi daima..!!!
Simba moja nguvu moja.. Ushindi daima!
Tumekuwa na wiki ya figisu nyingi. Ni figisu za kutaka kutuvuruga kwa kuwa mpinzani wetu amejikuta hana ubavu wa kutufunga tena kama alivyobahatisha mechi ya mwisho kwenye DeBy ya Kariakoo.
Ni ujuha mkubwa kuwekeza kwenye kuunda migogoro dhidi ya mtani wako kwavile tu kakuzidi kila idara! Huu ni ujinga mkubwa kwakuwa tumeshastukia janja pori ya utopolo fc.
Sisi kwasasa tuna jambo letu moja tu kwenda kumtia adabu mpinzani wetu na kumchapa magoli ya aibu.. Hayo mengine yote kwasasa sio kipaumbele.. Yatashughulikiwa kwa mujibu wa taratibu za kazi, mikataba na maadili yake. Kwaasasa letu ni moja tuu USHINDI WA KISHINDO.. na tuko IIMARA kwenye hilo Tumedhamiria
Tumekamia
Tumepania
Tumejipanga!
Kichapo kwa YANGA kitakuwa kichapo cha umbwa mwizi.. Yeye aendelee tu na majungu yake.. Baada ya mechi tutamuongezea na masufuria...[emoji2996][emoji2996][emoji2996][emoji2996]
Simba moja nguvu moja.. Ushindi daima!
Simba moja nguvu moja.. Ushindi daima!
Simba moja nguvu moja.. Ushindi daima!
Manunu fc bwana.....!!!Simba moja nguvu moja.. Ushindi daima!

Simba moja nguvu moja.. Ushindi LAZIMA..!!!Manunu fc bwana.....!!!
Eti ugomvi wote ni hako kafurushi Manara alipoomba afungiwe msosi wa kwenda nao homeView attachment 1865027
Nia ya kumchapa tunayo
Sababu ya kumchapa tunayo
Uwezo wa kumchapa tunao
Simba nguvu moja[emoji123][emoji123]
Simba moja nguvu moja.. Ushindi LAZIMA..!!!Mamluki wa Utopolo kuisaliti Simba tushamshtukia,Kigoma Yanga watakaa iwe kwa nguvu au kwa hiari.
Kwani mimba mpaka ziwe bao ngapiCha kubahatisha? Haitokei tena ile