Simba moja nguvu moja.. Ushindi daima!
Tumekuwa na wiki ya figisu nyingi. Ni figisu za kutaka kutuvuruga kwa kuwa mpinzani wetu amejikuta hana ubavu wa kutufunga tena kama alivyobahatisha mechi ya mwisho kwenye DeBy ya Kariakoo.
Ni ujuha mkubwa kuwekeza kwenye kuunda migogoro dhidi ya mtani wako kwavile tu kakuzidi kila idara! Huu ni ujinga mkubwa kwakuwa tumeshastukia janja pori ya utopolo fc.
Sisi kwasasa tuna jambo letu moja tu kwenda kumtia adabu mpinzani wetu na kumchapa magoli ya aibu.. Hayo mengine yote kwasasa sio kipaumbele.. Yatashughulikiwa kwa mujibu wa taratibu za kazi, mikataba na maadili yake. Kwaasasa letu ni moja tuu USHINDI WA KISHINDO.. na tuko IIMARA kwenye hilo Tumedhamiria
Tumekamia
Tumepania
Tumejipanga!
Kichapo kwa YANGA kitakuwa kichapo cha umbwa mwizi.. Yeye aendelee tu na majungu yake.. Baada ya mechi tutamuongezea na masufuria...[emoji2996][emoji2996][emoji2996][emoji2996]
Simba moja nguvu moja.. Ushindi daima!
Simba moja nguvu moja.. Ushindi daima!
Simba moja nguvu moja.. Ushindi daima!