Wanasimba Imara tuwe kitu kimoja kipindi hiki cha lala salama

Mshana jr we ndo unafanya watu wazimie na wengne kufa kabsa timu inapopoteza maana kwa uchawi wako unatabiri as If Sangoma anapiga no 9 hahahaa
Subiri keshokutwa utaniambia
 
Siyo mara ya kwanza unatabiri na unaangukiwa pua. Kesho lazima uchakae Manara kwa hasira zote ashatupatia ramani ya vita.
Tuache muda uongee...kwasasa kipaumbele ni kushinda mechi kwa kishindo na kumfunga uto magoli ya aibu... Hayo manala na mwengineyo mengi sio kipaumbele chetu kwasasa
 
Tuache muda uongee...kwasasa kipaumbele ni kushinda mechi kwa kishindo na kumfunga uto magoli ya aibu... Hayo manala na mwengineyo mengi sio kipaumbele chetu kwasasa
Tukutane kesho jion hapa hapa mzee
 
Mpili? My foot..!huo ndio mwisho wa umaarufu wake trust me[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
We mbna umevurunda mara kibao na bado una wafuasi humu wanaoamini tabiri zako hahahahaa
 
Simba moja nguvu moja.. Ushindi LAZIMA..!!!
Simba moja nguvu moja.. Ushindi LAZIMA..!!!
Simba moja nguvu moja.. Ushindi LAZIMA..!!!
 
Nia ya kumchapa tunayo

Sababu ya kumchapa tunayo
Uwezo wa kumchapa tunao

Simba nguvu moja[emoji123][emoji123]
Simba moja nguvu moja.. Ushindi LAZIMA..!!!
Simba moja nguvu moja.. Ushindi LAZIMA..!!!
Simba moja nguvu moja.. Ushindi LAZIMA..!!!
 
Hahahaha.. Kwani kuna uchaguzi wa ccm?[emoji2984][emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550]
Yaan Mshana kwenye issue za mpira tofaut yako na Haji ni ngozi tu.Hahaaa
 
Yaan Mshana kwenye issue za mpira tofaut yako na Haji ni ngozi tu.Hahaaa
Nipe matokeo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nanunua yanga mbovu na mzee mpili
Nanunua yanga mbovu na mzee mpili
Nanunua yanga mbovu na mzee mpili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…