Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siyo mara ya kwanza unatabiri na unaangukiwa pua. Kesho lazima uchakae Manara kwa hasira zote ashatupatia ramani ya vita.Subiri keshokutwa utaniambia
Tuache muda uongee...kwasasa kipaumbele ni kushinda mechi kwa kishindo na kumfunga uto magoli ya aibu... Hayo manala na mwengineyo mengi sio kipaumbele chetu kwasasaSiyo mara ya kwanza unatabiri na unaangukiwa pua. Kesho lazima uchakae Manara kwa hasira zote ashatupatia ramani ya vita.
Tukutane kesho jion hapa hapa mzeeTuache muda uongee...kwasasa kipaumbele ni kushinda mechi kwa kishindo na kumfunga uto magoli ya aibu... Hayo manala na mwengineyo mengi sio kipaumbele chetu kwasasa
We mbna umevurunda mara kibao na bado una wafuasi humu wanaoamini tabiri zako hahahahaaMpili? My foot..!huo ndio mwisho wa umaarufu wake trust me[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Simba moja nguvu moja.. Ushindi LAZIMA..!!!Nia ya kumchapa tunayo
Sababu ya kumchapa tunayo
Uwezo wa kumchapa tunao
Simba nguvu moja[emoji123][emoji123]
TAKUKURU sogeeni L.TanganyikaSimba moja nguvu moja.. Ushindi LAZIMA..!!!
Simba moja nguvu moja.. Ushindi LAZIMA..!!!
Simba moja nguvu moja.. Ushindi LAZIMA..!!!View attachment 1866154
Yaan Mshana kwenye issue za mpira tofaut yako na Haji ni ngozi tu.HahaaaHahahaha.. Kwani kuna uchaguzi wa ccm?[emoji2984][emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550]