Wanasimba Imara tuwe kitu kimoja kipindi hiki cha lala salama

Wanasimba Imara tuwe kitu kimoja kipindi hiki cha lala salama

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
301,577
Reaction score
754,412
Simba moja nguvu moja.. Ushindi daima!

Tumekuwa na wiki ya figisu nyingi. Ni figisu za kutaka kutuvuruga kwa kuwa mpinzani wetu amejikuta hana ubavu wa kutufunga tena kama alivyobahatisha mechi ya mwisho kwenye DeBy ya Kariakoo.

Ni ujuha mkubwa kuwekeza kwenye kuunda migogoro dhidi ya mtani wako kwavile tu kakuzidi kila idara! Huu ni ujinga mkubwa kwakuwa tumeshastukia janja pori ya utopolo fc.

Sisi kwasasa tuna jambo letu moja tu kwenda kumtia adabu mpinzani wetu na kumchapa magoli ya aibu.. Hayo mengine yote kwasasa sio kipaumbele.. Yatashughulikiwa kwa mujibu wa taratibu za kazi, mikataba na maadili yake. Kwaasasa letu ni moja tuu USHINDI WA KISHINDO.. na tuko IIMARA kwenye hilo Tumedhamiria

Tumekamia

Tumepania

Tumejipanga!

Kichapo kwa YANGA kitakuwa kichapo cha umbwa mwizi.. Yeye aendelee tu na majungu yake.. Baada ya mechi tutamuongezea na masufuria...[emoji2996][emoji2996][emoji2996][emoji2996]

Simba moja nguvu moja.. Ushindi daima!
Simba moja nguvu moja.. Ushindi daima!
Simba moja nguvu moja.. Ushindi daima!

giphy.gif
 
Naona unavoelekea sumbawanga kwa uliemrithisha kilinge ukaeke tena mambo sawa. Bro kumbuka umeshatoa vikoba😂😂😂😂
 
Naunga mkono hoja

SIMBA NGUVU MOJA.
[emoji1548][emoji1548][emoji1548][emoji1534][emoji1534][emoji817][emoji817][emoji736][emoji736][emoji2996][emoji2996][emoji2996][emoji2996]THIS IS SIMBA
 
Basi sawa Mkuu
Ila kwa tahadhari tu, nimetoka kuchungulia muda huu Simba anakufa Goli tatu, ila zimepungua juzi zilikuwa nne na endeleeni kuzipunguza kwasababu dhahama itakayofanyika ni kubwa
Hiyo ni vice versa mkuu subiri utaona SIMBA atakavyomchakaza uto
 
Uto hamna kitu pale, ikitokea mtaani kukawa shwari hamna anayezomewa wala kufedheheshwa, uto wanakunywa 4+ kama siku ile, hawa uto wanacheza kufa na kupona kuikwepa fedheha!

Simba nguvu moja[emoji120]
 
simba ya safari hii imenikatisha tamaa, yaani manara na boss wake wana nyambuana!
bora tupigwe 4 bila ili tujenge nidhamu.
 
Uto hamna kitu pale, ikitokea mtaani kukawa shwari hamna anayezomewa wala kufedheheshwa, uto wanakunywa 4+ kama siku ile, hawa uto wanacheza kufa na kupona kuikwepa fedheha!
Simba nguvu moja[emoji120]
Simba moja nguvu moja.. Ushindi daima..!!!
Simba moja nguvu moja.. Ushindi daima..!!!
Simba moja nguvu moja.. Ushindi daima..!!!
 
Back
Top Bottom