Kesho si jumatatu au?
Hahahahahaha nimechekaa
Wewe siyo simba....mkuu acha utawaua.
P ntajumuika nanyiiiLazima tufuate maneno ya muhamasishaji wetu
Waje kama alivyosema muhamasishaji waoTunakutania kwa Mwamedi yeye ndio atatuongoza kwenye maandamano yetu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunakutania kwa Mwamedi yeye ndio atatuongoza kwenye maandamano yetu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Buza KWA mama bonge