Wanasimba wenzangu,
Mpira uko hivyo hivyo kikubwa tukamilishe zoezi la kesho kama tulivyowaahidi Watanzania, muhamasishaji wetu aliahidi kua tukifungwa tutakusanyana tutembee uchi Mwenge hadi Kawe kwa mguu mchana kweupe. Nauliza kituo cha matembezi kinaanzia mkapa stadium au makao makuu ya club msimbazi?
Chondechonde tufuate ushauri wa muhamasishaji wetu ili tumalize ratiba kabisa.