Wanasimba mchague moja Kati ya haya yafuatayo

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
10,587
Reaction score
13,425
Habari za uzima wananzego, ni matumaini yangu kuwa ni wazima wa afya kabisa lakini kwa mashabiki wa yanga ni furaha tele Tena tele Sana.

Okey anyway niende kwenye point moja kwa moja Kama kichwa Cha habari kinavyojieleza hapo juu.
Kuelekea tarehe 25 Kuna derby kubwa itapigwa pale Kati ya yanga na Azam fc uwanja wa chamazi studium, mbungi itakayopigwa pale itakua ni yakimataifa.

Azam wanazitaka point tatu muhimu ili wajihakikishie nafasi ya pili zaidi, wakati mabingwa watetezi yanga nao wakizitaka point tatu muhimu ili wazidi kuwadidimiza mahasimu wao Simba aka makolo Kama wanavyotambulika huko mtaani.

Sasa mashabiki wa makolo mchague muishangilie yanga ishinde ili Azam adidimie mpambanie nafasi ya pili au mtaishangilia azam ishinde ili muwacheke mashabiki wa yanga

Kazi kwenu na round hii yanga lazima ibebe Tena ndoo maana haina mpinzani hapa bongo.
 
Hata azam wakishinda bado wananchi tutakua juu na kwanza si jambo jepesi yanga kupoteza

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…