wakimataifa.
JF-Expert Member
- Jun 7, 2015
- 1,625
- 558
Ukiwa mshirikina utaona kila mtu ni mshirikina tuChonde chonde wanasimba siku ya uchaguzi mtaletewa pilao na ukoo wa mo
Nawaomba msile hicho chakula ogopa chakula cha aina hiyo kutoka kwa dini ya Shia mtapitisha ajenda bila kujielewa
kwamba washia tu ndo wana hayo mambo?Chonde chonde wanasimba siku ya uchaguzi mtaletewa pilao na ukoo wa mo
Nawaomba msile hicho chakula ogopa chakula cha aina hiyo kutoka kwa dini ya Shia mtapitisha ajenda bila kujielewa
na njaa hii mjini halaf tusile pilau,wacha turogweChonde chonde wanasimba siku ya uchaguzi mtaletewa pilao na ukoo wa mo
Nawaomba msile hicho chakula ogopa chakula cha aina hiyo kutoka kwa dini ya Shia mtapitisha ajenda bila kujielewa
Umebakia wewe tuu tuuloge huo mdomo wako ugeukie nyumaTimu yenye we ya Simba inaendeshwa kishirikina, Wana Tuzo ya NBC na CAF katika ushirikina.
Usiwatishe mbumbumbu fc katika ushirikina wao ni wachawi walio tukuka.
Yanga mko kichawi chawi sana. Hayo hayana nafasi tenaChonde chonde wanasimba siku ya uchaguzi mtaletewa pilao na ukoo wa mo
Nawaomba msile hicho chakula ogopa chakula cha aina hiyo kutoka kwa dini ya Shia mtapitisha ajenda bila kujielewa