Wanasimba msile pilau siku ya uchaguzi

Wanasimba msile pilau siku ya uchaguzi

wakimataifa.

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2015
Posts
1,625
Reaction score
558
Chonde chonde wanasimba siku ya uchaguzi mtaletewa pilao na ukoo wa mo
Nawaomba msile hicho chakula ogopa chakula cha aina hiyo kutoka kwa dini ya Shia mtapitisha ajenda bila kujielewa
 
Timu yenye we ya Simba inaendeshwa kishirikina, Wana Tuzo ya NBC na CAF katika ushirikina.
Usiwatishe mbumbumbu fc katika ushirikina wao ni wachawi walio tukuka.
 
kwamba washia tu ndo wana hayo mambo?
 
Yani mtu aache ubeche sababu ya imani potofu za kishirikina. Mwisho wa siku ukiuliza nini cha maana yeyote atakaeteuliwa atakufanyia, huna jibu la maana.
Si bora hata huyo anaetoa ubwabwa.
 
Chonde chonde wanasimba siku ya uchaguzi mtaletewa pilao na ukoo wa mo
Nawaomba msile hicho chakula ogopa chakula cha aina hiyo kutoka kwa dini ya Shia mtapitisha ajenda bila kujielewa
na njaa hii mjini halaf tusile pilau,wacha turogwe
 
Timu yenye we ya Simba inaendeshwa kishirikina, Wana Tuzo ya NBC na CAF katika ushirikina.
Usiwatishe mbumbumbu fc katika ushirikina wao ni wachawi walio tukuka.
Umebakia wewe tuu tuuloge huo mdomo wako ugeukie nyuma
 
Chonde chonde wanasimba siku ya uchaguzi mtaletewa pilao na ukoo wa mo
Nawaomba msile hicho chakula ogopa chakula cha aina hiyo kutoka kwa dini ya Shia mtapitisha ajenda bila kujielewa
Yanga mko kichawi chawi sana. Hayo hayana nafasi tena
 
Back
Top Bottom