wakimataifa
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 942
- 168
nimesikia wanachama wa simba kipindi cha michezo cha redio kuwa kuna mzungu kichaa anavurugana na viongozo wenzake kwenye klabu ya simba huyo mzungu kichaa ni yupi utujuze sisi mashabiki wa simba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hanspope au kaburu ndio wazungu kichaa asa sijajua ninani kati yao anayehusikanimesikia wanachama wa simba kipindi cha michezo cha redio kuwa kuna mzungu kichaa anavurugana na viongozo wenzake kwenye klabu ya simba huyo mzungu kichaa ni yupi utujuze sisi mashabiki wa simba