Wanasimba nani anapaswa kuanzisha uzi wa mechi ya kesho?

[emoji23][emoji23][emoji23] ila ankal una majibu
Kuna wengine wanakuita uko, nimewaambia anko akija kuwajibu msikimbilie kwa mods
Napendekeza kwa heshima aliyonayo Ankal kwenye hii platform apewe u~mod kabisa. Huyu ni mtu na nusu humu Jf,ukiperuzi siku nzima uskute comment au thread yake nikama hujaingia Jf yaan[emoji3]
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Ankal super star jf nzima, sema watu wanapenda kutrend kupitia yeye.
Na awajibu vyovyote mana wanamuanza wenyewe
 
[emoji23][emoji23][emoji23] ila ankal una majibu
Kuna wengine wanakuita uko, nimewaambia anko akija kuwajibu msikimbilie kwa mods
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom