Mwanadiplomasia Mahiri
JF-Expert Member
- Nov 4, 2019
- 491
- 1,907
KIPIGO KIPO PALE PALE HATA KAMA AKIANZISHA Mshana JrPendekeza jina hapa ili ajue kuwa anatakiwa kuandaa uzi mzuri maana tukichelewa tu, akina Labani og na NALIA NGWENA hawakawii kutuletea uchawi.
Kila la heri Lunyasi
Vipi uko katika Heat?
Napendekeza kwa heshima aliyonayo Ankal kwenye hii platform apewe u~mod kabisa. Huyu ni mtu na nusu humu Jf,ukiperuzi siku nzima uskute comment au thread yake nikama hujaingia Jf yaan[emoji3][emoji23][emoji23][emoji23] ila ankal una majibu
Kuna wengine wanakuita uko, nimewaambia anko akija kuwajibu msikimbilie kwa mods
Napendekeza kwa heshima aliyonayo Ankal kwenye hii platform apewe u~mod kabisa. Huyu ni mtu na nusu humu Jf,ukiperuzi siku nzima uskute comment au thread yake nikama hujaingia Jf yaan[emoji3]
kwa heshima ya mtani utopolo sisi kwa kesho tunaomba tupumzike hiyo kazi afanye mtani ShadeeyaPendekeza jina hapa ili ajue kuwa anatakiwa kuandaa uzi mzuri maana tukichelewa tu, akina Labani og na NALIA NGWENA hawakawii kutuletea uchawi.
Kila la heri Lunyasi
AahaaaaaaDada yetu nguli GENTAMYCINE ambaye ni simba lia lia
Asante mkuu tayari kuna mdau kashaanzisha🙏🏾
Asante mkuu kuna mdau kashaanzisha🙏🏾
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila ankal una majibu
Kuna wengine wanakuita uko, nimewaambia anko akija kuwajibu msikimbilie kwa mods