Wanasimba njoo hapa mseme ukweli

Makosa madogo aliyoyafanya Kocha katika Sub, yamempa ujiko Mayele,maana hadi kipindi cha kwanza kinaisha kabla ya sub, Mayele hakufa shambulio lolote la maana.
Mnamsingizia Coach bure tu, hata asingefanya sub yoyote... Kilicho waumiza Simba ni Morrison na Moloko kuingia... Halafu Azizi kurudi kucheza nyuma ya Mayele, hapa ndipo mlizidiwa... Mabeki walijikuta wanapelekewa moto kushoto kwa Morrison na kulia kwa Moloko, walishindwa kuendelea kumkaba Mayele... (1st half Mayele alikabwa na beki wawili) 2nd half ikabidi kila beki apambane na hali yake...
 
kabla ya kuingia mo Simba ilikuwaje?
Kama mnaweza kujiendesha wenyewe mbona mlishindwa?
HAKUNAA MTU ANAYEWEKA HELA ZAKE AKITEGEMEA HASARA.
Kama kuna faida moo amepata pale Simba ANASTAHILI HYO FAIDA NA ATAENDELEA KUSTAHILI
Hiki kitu wenye akili pekee ndyo wannaweza elewa, hawa wengine kila siku Zile billions 20 hata kadi ya uanachama Hana, hata Simba app ya sh 2000/= kwa mwezi Hana, halafu wanavyolalamika utadhani wana hata 0.0000005% ya hisa za Simba SC
]
 
Mara kibao tu tunafungwa na huyo chama yupo ndani
 
Hiki kitu wenye akili pekee ndyo wannaweza elewa, hawa wengine kila siku Zile billions 20 hata kadi ya uanachama Hana, hata Simba app ya sh 2000/= kwa mwezi Hana, halafu wanavyolalamika utadhani wana hata 0.0000005% ya hisa za Simba SC
]
Mkuu hujui usemacho
 
Kipi kifanyike tusifungwe tena na MAYELE?
 
20b ni ela za hisa Kwa 49% but kabla haujaliza hizo why usiulize ela za hisa za 51%?

Mo anaweza kuwa ajatoa 20B sawa, but nataka nikwambie kuwa hawa watu wanakuja kudhamini Simba now ni Kwa sababu ya uwepo wa Mo ndani ya simba
 
How far sure are you?
 
Makosa madogo aliyoyafanya Kocha katika Sub, yamempa ujiko Mayele,maana hadi kipindi cha kwanza kinaisha kabla ya sub, Mayele hakufa shambulio lolote la maana.
Goli la kwanza mlikuwa wote mmetimia, alichoweza Nabi ni kumshusha Fei chini na ki kucheza kwenye namba 10
 
Makosa madogo aliyoyafanya Kocha katika Sub, yamempa ujiko Mayele,maana hadi kipindi cha kwanza kinaisha kabla ya sub, Mayele hakufa shambulio lolote la maana.
Mayele au Yanga? shida inaanzia hapa
 
Hapo ndo tulimalizwa
Na hiyo inabaki dilemma kwa Nabi nani aanze kwenye namba 10 kati ya ki na Fei, kwa alichofanya ki juzi hiyo namba ni kama amejimilikisha tayari
 
Na akimtoa hapo Aziz Ki watu watamuona mbaya NABI.Kiufupi AZIZ ni no 10 pure kabsa.Akiwa na Mayele shughuli inakuwa pevu.
 
Yeah sure, kipindi cha kwanza Yanga walilemewa kabisa ila mpango wa kipindi cha Pili plus zile subs ndo ikawa ilivokuwa
 
Hakika huu ni mwaka wetu wa tabu,huyu mayele huyuuuuuu
 
FC Kinye mna tabu nyie...ni kama Kipofu aliyeona Mwezi Au Mgumba aliyeshika Mimba Barabara nzima mnatema MIMATE..!
Mara ya mwisho USHINDI ulipata kigoma mbumbumbu na popoma mkubwa umenifunga lini wewe takataka USHINDI wako droo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…