ITR
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 6,096
- 16,390
Wana simba wenzangu pigeni moyo konde tukubaliane na tunacho kiona, kiufupi leo tutaongea yote lakini ukweli ni kuwa raja walikuwa bora zaidi yetu.
Kuanzia mchezaji mmoja mmoja kwakweli sasa hivi simba imejaza wachezaji wenye viwango vidogo sana.
Kwa sasa tukiangalia katika ubora wa mchezaji mmoja mmoja simba haina tofauti na Azam.
Hata yanga kwa ubora wa mchezaji mmoja mmoja anaizidi mbali sana Simba.
Tangu Zakaria Hanspop afariki simba kwenye kamati ya usajili ni pa hovyo kabisa.