Wanasimba Raja walituzidi kila kitu hakuna wa kulaumiwa

Wanasimba Raja walituzidi kila kitu hakuna wa kulaumiwa

ITR

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2022
Posts
6,096
Reaction score
16,390
Wana simba wenzangu pigeni moyo konde tukubaliane na tunacho kiona, kiufupi leo tutaongea yote lakini ukweli ni kuwa raja walikuwa bora zaidi yetu.

Kuanzia mchezaji mmoja mmoja kwakweli sasa hivi simba imejaza wachezaji wenye viwango vidogo sana.
Kwa sasa tukiangalia katika ubora wa mchezaji mmoja mmoja simba haina tofauti na Azam.

Hata yanga kwa ubora wa mchezaji mmoja mmoja anaizidi mbali sana Simba.

Tangu Zakaria Hanspop afariki simba kwenye kamati ya usajili ni pa hovyo kabisa.
 
Wana simba wenzangu pigeni moyo konde tukubaliane na tunacho kiona, kiufupi leo tutaongea yote lakini ukweli ni kuwa raja walikuwa bora zaidi yetu.

Kuanzia mchezaji mmoja mmoja kwakweli sasa hivi simba imejaza wachezaji wenye viwango vidogo sana.
Kwa sasa tukiangalia katika ubora wa mchezaji mmoja mmoja simba haina tofauti na Azam.
Hata yanga kwa ubora wa mchezaji mmoja mmoja anaizidi mbali sana simba.

Tangu Zakaria Hanspop afariki simba kwenye kamati ya usajili ni pa hovyo kabisa.
Kwa hiyo simba mkifungwa mnajitetea. Kwan Chama si alikuwepo?, mkude?, boko?, kapombe?, manula? MGUNDA?. juzi juzi tu said oo alifiti kstika MFUMO, Leo mshasahau..... Dah!
 
Hakika.
1. Umri, simba leo nimeona kama Wazee wanacheza na vijana.

Simba wanashambulia halafu wanakata pumzi kwa kuchoka vijana wakachukua mpira wanafunga goli.

2. Katikati kulipwaya, Sawadogo pumzi ndogo sana Mzamilu na Kapombe wamefanya kazi kubwa sana ya kusukuma mipira mbele tokea katikati. Pengo la Kannute lilionekana.

3. Kutokuwa makini. Raja walikuwa makini sana. Wanacheza na kupumzika. Lengo lao ni kufunga tu na sio kuchezea mpira.

4. Kupoteza pasi hovyo.

5. Kukosa washambuliaji makini. Sikumbuki Boko alifunga lini goli kwenye mechi za kimataifa. Hizi za ligi nakumbuka.

6. Nitaendelea baadae nimeitwa kidogo na shemeji yenu.
 
Wanasimba raja walituzidi kila kitu

1676768243081.png
 
Kwa hiyo simba mkifungwa mnajitetea. Kwan Chama si alikuwepo?, mkude?, boko?, kapombe?, manula? MGUNDA?. juzi juzi tu said oo alifiti kstika MFUMO, Leo mshasahau..... Dah!
Mkuu, ondoa mawazo kwenye ligi ya Bara
 
QUALITY PLAYERS.

QUALITY PLAYERS.

SIMBA INA MIZIGO MINGI SANA.
Banda, kanute, Okrah, onyango, sawadogo, Ottara nk.

MO NI TAJIRI ASIYEIJALI SIMBA ANASAJILI WACHEZAJI DUNI KABISA
 
Wana simba wenzangu pigeni moyo konde tukubaliane na tunacho kiona, kiufupi leo tutaongea yote lakini ukweli ni kuwa raja walikuwa bora zaidi yetu.

Kuanzia mchezaji mmoja mmoja kwakweli sasa hivi simba imejaza wachezaji wenye viwango vidogo sana.
Kwa sasa tukiangalia katika ubora wa mchezaji mmoja mmoja simba haina tofauti na Azam.
Hata yanga kwa ubora wa mchezaji mmoja mmoja anaizidi mbali sana simba.

Tangu Zakaria Hanspop afariki simba kwenye kamati ya usajili ni pa hovyo kabisa.
Mm najiuliza mbona african hatuwezi kucheza kwa haraka sana km wazungu na waarabu??
Wenzetu wepesi mno yaani jana ile ilikuwa ni aibu kabisa.
 
Makolo wote Kila mara mjikumbushe Simba inashika mkia kwenye kundi klabu bingwa! Nawachukia sana Makolo fc mmeniharibia wanangu wote ni Makolo Nina kazi ya kununua majezi yenu tu kuwavalisha maana Hawatutaki utopolo!

nadhani Simba itashika mkia hadi mwisho wa ligi hii, nadhani haitapata goli au point yoyote maana wachezaji wote ni wazee kina Babu Onyango badala ya kuwa na akili ya kudhibiti mpira yeye akili ya kizee from Kenya ni kudhibiti mtu!! Ingekuwa ni Dickson Job angebutua mpira njee!!

Tusisahau hadi Sasa two games Simba Haina goli Wala point!! Nilitabiri hivi Bado utabiri unaendelea kutimia mnaotukana njooni!

Hii timu yenu kwasasa kiwango chake Haina tofauti na Ihefu au JKT Ruvu.

Jiji limetulia kimyaaaa tunakunywa kahawa zetu zinashuka murua kabisa taratiiibu hakuna Cha mavuvuzela Wala majezi yenu mitaani!! Raha mustarehe.

Simba mtuombee Leo Utopolo tuko kibaruani!! Na kibarua ni kizito kweli kweli japo wanaowaza eti saa 3 usiku Leo itakuwa hatuchekani wanajisumbua tu, Simba Jana waliroga video inaonesha bus lao likaendeshwa kinyumenyume kutoka msimbazi hadi kisarawe, Sisi utopolo tutaroga bus letu litaenda mbele kutoka jangwani hadi uwanja wa taifa na tutashinda!!
 
QUALITY PLAYERS.

QUALITY PLAYERS.

SIMBA INA MIZIGO MINGI SANA.
Banda, kanute, Okrah, onyango, sawadogo, Ottara nk.

MO NI TAJIRI ASIYEIJALI SIMBA ANASAJILI WACHEZAJI DUNI KABISA
Sakho umemsahau
 
Back
Top Bottom