Kwa hiyo simba mkifungwa mnajitetea. Kwan Chama si alikuwepo?, mkude?, boko?, kapombe?, manula? MGUNDA?. juzi juzi tu said oo alifiti kstika MFUMO, Leo mshasahau..... Dah!Wana simba wenzangu pigeni moyo konde tukubaliane na tunacho kiona, kiufupi leo tutaongea yote lakini ukweli ni kuwa raja walikuwa bora zaidi yetu.
Kuanzia mchezaji mmoja mmoja kwakweli sasa hivi simba imejaza wachezaji wenye viwango vidogo sana.
Kwa sasa tukiangalia katika ubora wa mchezaji mmoja mmoja simba haina tofauti na Azam.
Hata yanga kwa ubora wa mchezaji mmoja mmoja anaizidi mbali sana simba.
Tangu Zakaria Hanspop afariki simba kwenye kamati ya usajili ni pa hovyo kabisa.
Wanasimba raja walituzidi kila kitu
Mkuu, ondoa mawazo kwenye ligi ya BaraKwa hiyo simba mkifungwa mnajitetea. Kwan Chama si alikuwepo?, mkude?, boko?, kapombe?, manula? MGUNDA?. juzi juzi tu said oo alifiti kstika MFUMO, Leo mshasahau..... Dah!
Mm najiuliza mbona african hatuwezi kucheza kwa haraka sana km wazungu na waarabu??Wana simba wenzangu pigeni moyo konde tukubaliane na tunacho kiona, kiufupi leo tutaongea yote lakini ukweli ni kuwa raja walikuwa bora zaidi yetu.
Kuanzia mchezaji mmoja mmoja kwakweli sasa hivi simba imejaza wachezaji wenye viwango vidogo sana.
Kwa sasa tukiangalia katika ubora wa mchezaji mmoja mmoja simba haina tofauti na Azam.
Hata yanga kwa ubora wa mchezaji mmoja mmoja anaizidi mbali sana simba.
Tangu Zakaria Hanspop afariki simba kwenye kamati ya usajili ni pa hovyo kabisa.
Sakho umemsahauQUALITY PLAYERS.
QUALITY PLAYERS.
SIMBA INA MIZIGO MINGI SANA.
Banda, kanute, Okrah, onyango, sawadogo, Ottara nk.
MO NI TAJIRI ASIYEIJALI SIMBA ANASAJILI WACHEZAJI DUNI KABISA