Wanasimba SC njooni hapa tufanye maamuzi sahihi tumfukuze kocha au tuwafukuze wachezaji?

LEO tumekumbushwa kwamba kwenye dirisha la usajili tunatakiwa kufanya USAJILI siyo kupiga picha na MANZOKI.

Mtu mmoja aniambie MANULA ambaye hajacheza kwanzia msimu uanze anaanzishwaje kwenye Derby?

TUJITAFAKARI
Baada ya kichapo heavy nikiwa shabiki Lia Lia wa Simba sc nahitaji wanasimba wenzetu tupige kura hapa ya kumfukuza Robertinho au tufukuze wachezaji??

Njoo haraka sana.View attachment 2805036
 
LEO tumekumbushwa kwamba kwenye dirisha la usajili tunatakiwa kufanya USAJILI siyo kupiga picha na MANZOKI.

Mtu mmoja aniambie MANULA ambaye hajacheza kwanzia msimu uanze anaanzishwaje kwenye Derby?

TUJITAFAKARI
SIJUI IMEKUAJE WAKAMUWEKA MANULA.
 
Angadaka AYUBU au Yule dogo zisingefika 5 Angeanza kwanza kupata fitness huwezi kukaa nje miezi 6 unarudi game ya derby
NILIPOMUONA TU MANULA NIKAJUA YANGA WANACHUKUA POINT TATU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…