Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
mnamlaumu kocha kwani yeye ndio alikuwa uwanjani? jilaumuni kwa kushindwa kusajili vizuri. ukimweka mchezaji mmojammoja wa simba na yanga, haviendani kabisa, ni kama yanga wanawaonea tu simba.Baada ya kichapo heavy nikiwa shabiki Lia Lia wa Simba sc nahitaji wanasimba wenzetu tupige kura hapa ya kumfukuza Robertinho au tufukuze wachezaji??
Njoo haraka sana.View attachment 2805036
Kiukweli yanga wametuzid kila idaraNdio matokeo ya mpira hayo ila jamaa wa upande wa pili wanajituma sana kwani pindi wanapo poteza mpira wanautafuta kwa haraka haswaa
Hiyo hali unaiona hivyo ni kwa sababu ya mfumo wa kocha.Kocha ndo anatengeneza hii Chemistry..
Simba ni kama kuna baadhi wanategea
Maajabu aiseeLEO tumekumbushwa kwamba kwenye dirisha la usajili tunatakiwa kufanya USAJILI siyo kupiga picha na MANZOKI.
Mtu mmoja aniambie MANULA ambaye hajacheza kwanzia msimu uanze anaanzishwaje kwenye Derby?
TUJITAFAKARI
TENA KALIKO MWAGIWA NA MAJISimba mnyama [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mara kamekuwa kapaka...
MPENI AHMEDY ALLYTunataka tukupe ww timu mleta uzi
Vp umefurahi?
POLE SANA MZEE WA 5G [emoji16]Mleta mada dish limeyumba[emoji35]
Gamondi naskia kawaka sana baada ya mechi Kule chumba cha kubadilishia nguo. Anasema hajaelewa kabisa ... Yanga inacheza chini ya kiwango. Yeye alionao hii gemu itaisha na 8 na imekuaje mpaka wamepata goli.Kiukweli yanga wametuzid kila idara
Pia, binafsi sijaona kosa la Manula kwa magoli yote ma5. Na niliona aliokoa michomo mingine ya hatari.mnamlaumu kocha kwani yeye ndio alikuwa uwanjani? jilaumuni kwa kushindwa kusajili vizuri. ukimweka mchezaji mmojammoja wa simba na yanga, haviendani kabisa, ni kama yanga wanawaonea tu simba.
Na mimi baada ya hiki kichapo nimeamua kwa hiyari yangu kuwa shabiki wa mbumbumbu fc. Hivyo naunga mkono hoja. Tumtimue na Chifu Mangungu.Baada ya kichapo heavy nikiwa shabiki Lia Lia wa Simba sc nahitaji wanasimba wenzetu tupige kura hapa ya kumfukuza Robertinho au tufukuze wachezaji??
Njoo haraka sana.View attachment 2805036