Wanasimba SC njooni hapa tufanye maamuzi sahihi tumfukuze kocha au tuwafukuze wachezaji?

Kwenye kipingo kama hiki busara ni kurudi nyuma na kufanya tathimini ya makosa ya kiufundi yalikuwa wapi, halafu kama shida ni mfumo hapo tunamgeukia kocha SI kufukuzana bila tathimini tutaharibu zaidi na kuelekea kuwa vibonde, dah!!! lakni inauma[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
NOMA SANA [emoji16]
 
Tatizo sio wote ni watu wachache sana ndo wanaturudisha nyuma

Sasa mtu kama baleke kibu D yuko pembeni yake ni swala la kutoa pasi ajaribu kufunga anataka apige mwenyewe

Kibu D baada ya kufunga kila mpira anajaribu kubutua

Kapombe ni kama non exisiting jana

Saido anawaza afunge mwenyewe kila muda
Kocha anatoa maelekezo inonga apige mipira mirefu kumtafuta winga ila sidhani ile mbinu ilifanikiwa mipira yote haikufika
Pia mabeki wetu baada ya goli la pili walipanda juu mno counter attacks zikatuua timu ikipanda

Ukiangalia hawa chura wenyewe wamecheza kwa umoja muangalie clement pasi anampa max mpia bila kinyongo mambo yanaenda

Muangalia pacome na aziz ki si wachoyo watu utafikiri hakuna staa kwenye timu
All in all tuliingia kwenye mfumo😁
Kocha apewe wachezaji atakaowataka bado nina imani na robertinho
Though nayeye ajaribu kuweka watu tofauti tofauti kupata right combination
 
All in all tuliingia kwenye mfumo[emoji16]
Kocha apewe wachezaji atakaowataka bado nina imani na robertinho
Though nayeye ajaribu kuweka watu tofauti tofauti kupata right combination
POLE SANA MKUU UMEONGEA KWA UCHUNGU MNO.[emoji16]
 
😂😂😂 acha tu simba wanazingua

Kikosi kina wachezaji kibao tia israel mwenda
Tia moses phiri na wengine kina chilunda ndani😂😂
Umekazana na first 11 hiyo hiyo sasa maana ya kikosi kipana ni nini
 
mlishiriki kumuajiri?
[emoji16][emoji2772]
1699349380062.jpg
 
Back
Top Bottom