Wanasimba : Special campaign ya kumrudisha Ndemla kikosini

Wanasimba : Special campaign ya kumrudisha Ndemla kikosini

acheni vichekesho.. hawa akina ndemla wanajua kucheza ligi za ndani tu ukiwapeleka ccc hawana kitu hawa.. simba inatakiwa i advance kwa kusajili wachezaji wa viwango vya juu zaidi ya akina Ndemla
ishu ni kwamba kwa wachezaji wa ndani wazuri ni kina nani kuwazidi hao kina Demla? Usajili wa kimataifa unajuliana nafasi zake haziingiliani na hawa wa ndani
 
Habari za muda huu

Naleta mada kibishi hapa jukwaani.

Hivi wanasimba wenzangu hatuwezi kushinikiza Said Ndemla kurudishwa kikosini?
Ukilinganisha Aliondolewa Ndemla akaletwa kanute na Abdulswamadu lakin Abdulswamadu akashindwa kushaine hivyo akatolewa kwa mkopo.
Saiv uongozi unahangaika na mkandala ambae hatujui Kama ataendana na mfumo ama la ,si Bora angerudi tu Ndemla na akipata nafasi hao akina Bwalya , mzamiru ,Nyoni na Mkude si hawataturingia?
Achana na takataka hizo tunataka wachezaji timamu
 
Back
Top Bottom