Lee Van free
JF-Expert Member
- Aug 14, 2024
- 1,535
- 5,332
Leo hii KIBU D kawa mchezaji Bora kabisa katika Klabu yetu.kawa muokozi,mleta faraja,mkombozi na mfunga magoli muhimu.
Lakini Kibu huyuhuyu miaka miwili iliyopita hakuna tusi aliacha kutukanwa.
Kibu alilaumiwa na analaumiwa kwa kufunga goli moja TU msimu mzima na kutofungq kabisa katika mashindano ya ndani.
Sasa najiuliza je kuna ubaya wowote mchezaji akiwa anaweza kufunga mashindano ya nje lakini asipate nafasi ya kufunga mashindano ya ndani?
Hata hivyo siyo Kibu TU aliekua akishambuliwa na kulaumiwa na mashabiki wa Simba,bali kuna wachezaji wengi sana wamekua wakilaumiwa na kutukanwa kwa sababu TU ya kukosa kufunga magoli mara TU baada ya kusajiliwa.
Kwa ninavyojua Mimi haya mambo yanahitaji muda na bahati.
Mfano hata Ateba,Mukwala na Mapanzu Kuna watu walikua wanawalaumu na kusema tumepigwa,lakn Ateba Sasa kaanza kuonesha cheche,Mukwala kaanza kutoa moshi bado kuwaka TU.
Mpanzu keshaanza kutoa assist lakini huko tuendako atafunga TU.
Kwa hiyo ninachotaka kuwaomba wanasimba wenzangu tuwatie moyo wachezaji wetu,Tuache kuwakatisha tamaa,tusiwatukane,tuwape muda na tuwaombee.
Hata Joshua Mutale Kuna siku atafunguka.
Leo hii kuna wanasimba wanamsema na kumlaumu Ahoua kwa uchezaji wake usio na urembo ingawa analeta magoli.
Ndugu zangu katika Simba Tusiwakatishe tamaa wachezaji wetu na tusiwakatie tamaa.