William Mshumbusi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 1,761
- 2,391
HAKUNA KUINGIA UWANJANI. Timu bila kocha, CADENA out. Kaua makipa wa Azam, kaua kiwango cha Ally Salum. Kafarakanisha timu, Anaitaka timu. Kama Mo kagoma dili la kipa basi MGUNDA in.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi yule Roberto sikuwahi kumkubali na mpira wake kampani yangu yote wansimba walikuwa wanajua hilo kwanza profile yake ilikuwa ndogo sana kuliko simba hapo nilishangaa sana uongozi wa simba kuwa na yule coachKuna mashabiki wa Simba wapo Kama chawa hawatakuelewa. Na ndio mtaji wa Mo na mafisadi wenzake. Nakumbuka mechi ya kwanza ya Robertinho nilisema huyo kocha hatufai nilitukanwa Sana. Ila baada ya kupigwa tano, mashabiki uchwara wamekimbia. Kwa Sasa Simba haina Viongozi Ina wasanii.
Haijibiki ile no coment[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa whtsap channel je
Sasa mlitegemea Muhindi aweke pesa ya maana hapo?Kuna mashabiki wa Simba wapo Kama chawa hawatakuelewa. Na ndio mtaji wa Mo na mafisadi wenzake. Nakumbuka mechi ya kwanza ya Robertinho nilisema huyo kocha hatufai nilitukanwa Sana. Ila baada ya kupigwa tano, mashabiki uchwara wamekimbia. Kwa Sasa Simba haina Viongozi Ina wasanii.