Wanasimba tuanze kutag kwenye kila media. Hatununui tiketi tunataka kocha na cadena out

Kuna mashabiki wa Simba wapo Kama chawa hawatakuelewa. Na ndio mtaji wa Mo na mafisadi wenzake. Nakumbuka mechi ya kwanza ya Robertinho nilisema huyo kocha hatufai nilitukanwa Sana. Ila baada ya kupigwa tano, mashabiki uchwara wamekimbia. Kwa Sasa Simba haina Viongozi Ina wasanii.
 
Mimi yule Roberto sikuwahi kumkubali na mpira wake kampani yangu yote wansimba walikuwa wanajua hilo kwanza profile yake ilikuwa ndogo sana kuliko simba hapo nilishangaa sana uongozi wa simba kuwa na yule coach
 
Sasa mlitegemea Muhindi aweke pesa ya maana hapo?

Mo yupo pale kuivuna Simba, nyie endelee kufa kwa presha na ile cheque fake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…