Usajili wa Nini timu yenu Iko vizuri baada ya kumfunga Kagera goli 3 bila🤣🤣Kwa misimu miwili iliyopita imekuwa kawaida Simba kuboronga mwanzoni na katikati ya msimu, kila mchezaji anaanza kujituma usajili ukikaribia, hata msimu wa mwaka jana usajili unakaribia kina Bocco ndo wanaanza kufunga magoli, tukumbuke kuwa usajili ukikaribia kila mchezaji anataka kuonyesha kiwango ili asalie kikosini.
Tuendelee kuhimiza usajili kufanyika na siyo kuwa na wachezaji wa matukio tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmeshinda Jana Leo kelele za nini?Kwa misimu miwili iliyopita imekuwa kawaida Simba kuboronga mwanzoni na katikati ya msimu, kila mchezaji anaanza kujituma usajili ukikaribia, hata msimu wa mwaka jana usajili unakaribia kina Bocco ndo wanaanza kufunga magoli, tukumbuke kuwa usajili ukikaribia kila mchezaji anataka kuonyesha kiwango ili asalie kikosini.
Tuendelee kuhimiza usajili kufanyika na siyo kuwa na wachezaji wa matukio tu.
Sent using Jamii Forums mobile app