Wanasimba tusiache kupiga kelele kuhusu usajili

Dabil

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2021
Posts
6,823
Reaction score
15,293
Kwa misimu miwili iliyopita imekuwa kawaida Simba kuboronga mwanzoni na katikati ya msimu, kila mchezaji anaanza kujituma usajili ukikaribia, hata msimu wa mwaka jana usajili unakaribia kina Bocco ndo wanaanza kufunga magoli, tukumbuke kuwa usajili ukikaribia kila mchezaji anataka kuonyesha kiwango ili asalie kikosini.

Tuendelee kuhimiza usajili kufanyika na siyo kuwa na wachezaji wa matukio tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usajili wa Nini timu yenu Iko vizuri baada ya kumfunga Kagera goli 3 bila🤣🤣
 
Kwa misimu miwili iliyopita imekuwa kawaida Simba kuboronga mwanzoni na katikati ya msimu, kila mchezaji anaanza kujituma usajili ukikaribia, hata msimu wa mwaka jana usajili unakaribia kina Bocco ndo wanaanza kufunga magoli, tukumbuke kuwa usajili ukikaribia kila mchezaji anataka kuonyesha kiwango ili asalie kikosini.

Tuendelee kuhimiza usajili kufanyika na siyo kuwa na wachezaji wa matukio tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mmeshinda Jana Leo kelele za nini?
 
Timu haina shida yoyote, Kanoute na Ngoma wamebadilika mno. Onana bonge la straika ana tuvitu vitu. Baleke nae mtu haswa, captain fantastic Bocco bado anatufaa Msimbazi. Simba gari limewaka ⚠️⚠️⚠️⚠️
 
Back
Top Bottom