Jumong S
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 7,385
- 10,659
Habari!
Naona kuna watu wanataka kuleta majonzi na maumivu kwa Wana Simba, kelele zilianzia kwa jirani na CAS Yao Sasa naona sijui Hao FCC nao wanaanza kuturudisha nyuma.
Fanyeni mfanyavyo but hatuko tayari mshabiki mwenzetu MO kuzuiwa kuwa muwekezaji mkuu.
Sisi wanasimba tunaridhika, tunamuamini na tunajivunia. Tuacheni hivi hivi. Masuala ya kumvuruga hatutakubali, tutamlinda kwa Aina yoyote ya ulinzi uliopo.
Masuala ya kutupeleke kwenye Hali ya Kidimbwi FC aka Yeboyebo aka Vyura FC aka Utopolo asee hatutaki.
Boresheni mtakavyo ila msimvuruge mwanachama mwenzetu MO!
Simba raha milele!