Wanasimba tutamlinda MO kwa nguvu zote

Wanasimba tutamlinda MO kwa nguvu zote

Jumong S

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2013
Posts
7,385
Reaction score
10,659
Habari!

Naona kuna watu wanataka kuleta majonzi na maumivu kwa Wana Simba, kelele zilianzia kwa jirani na CAS Yao Sasa naona sijui Hao FCC nao wanaanza kuturudisha nyuma.

Fanyeni mfanyavyo but hatuko tayari mshabiki mwenzetu MO kuzuiwa kuwa muwekezaji mkuu.

Sisi wanasimba tunaridhika, tunamuamini na tunajivunia. Tuacheni hivi hivi. Masuala ya kumvuruga hatutakubali, tutamlinda kwa Aina yoyote ya ulinzi uliopo.

Masuala ya kutupeleke kwenye Hali ya Kidimbwi FC aka Yeboyebo aka Vyura FC aka Utopolo asee hatutaki.

Boresheni mtakavyo ila msimvuruge mwanachama mwenzetu MO!

Simba raha milele!
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] acha kuchekesha mkuu , hivi nikuukize unamjua aliyemteka mo ?
Huo ulinzi Wa aina yeyote ndio upi mkuu Hapo mkuu , kama mo alitekwa na wanasimba hamkufanya lolote .
Acha kujitekenya na kucheka mwenyewe
 
Eti mtamlinda kwan nyie mnaulinz gan kumzd aliokua nao meko mbona kalala ulinzi anao mungu pekee mikia nyinyi na hakuna anaemvuruga kinachotakiwa afate sheria sio kutafuta huruma ya mikia wenzie na nasema hivi mnaanza upya
 
Jumatatu mambo yanaweza kumalizika, naona serikali kupitia waziri bashungwa watakutana jumatatu hii na Mungu akijalia mvutano waweza kuisha!! All the best pande zote tatu na Mungu awatangulie, tunataka tuache kuitwa kichwa cha mwendawazimu, tunataka ajira ziongezeke kupitia uwekezaji, mpira unahitaji kusonga na kufika mbali zaidi!!
 
Wewe utamlinda kama nani au ni potojo serikali haiwezi kutishwa na mtu kama mo achilia mbali wewe usiye na kitu afuate sheria tu mbona hukumlinda alipotekwa ndio shida ya Mbumbumbu/Mikia/Bodaboda akili zimetekwa
 
Kama hafuati sheria anakimbilia kutafuta Public sympathy kwenye social media ni sawa na bure tu
 
Kama hafuati sheria anakimbilia kutafuta Public sympathy kwenye social media ni sawa na bure tu
Ili kufikia mafanikio kuna wakati inabidi ufanye maamuzi magumu hizibsheria mbovu ambazo zimetungwa miaka nenda rudi haziendani na mpira wa zama hizi. Mafanikio ya simba au yanga hayaishii kwenye timu tu bali hata taifa. Kinachotakiwa ni kuangalia nini cha kuboresha sio kuharibu ndio maana mwendazake alikuja na utaratibu mmbovu wawekezaji wakakimbia na ajira zikapungua watu wakaishi maisha magumu na kuwa tegemezi wakati yeye hajatengeneza infrastructure nzuri
 
Eti mtamlinda kwan nyie mnaulinz gan kumzd aliokua nao meko mbona kalala ulinzi anao mungu pekee mikia nyinyi na hakuna anaemvuruga kinachotakiwa afate sheria sio kutafuta huruma ya mikia wenzie na nasema hivi mnaanza upya
Eti.....huyu huyu alitekwa na nyie mpo na kanga moko juu.
 
Back
Top Bottom