Atupeshe akwende zake kule.Mlindeni hata Hamis kigwangala. Anawaombea 20b zenu kwa MO.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] acha kuchekesha mkuu , hivi nikuukize unamjua aliyemteka mo ?Habari!
Naona kuna watu wanataka kuleta majonzi na maumivu kwa Wana Simba, kelele zilianzia kwa jirani na CAS Yao Sasa naona sijui Hao FCC nao wanaanza kuturudisha nyuma.
Fanyeni mfanyavyo but hatuko tayari mshabiki mwenzetu MO kuzuiwa kuwa muwekezaji mkuu.
Sisi wanasimba tunaridhika, tunamuamini na tunajivunia. Tuacheni hivi hivi. Masuala ya kumvuruga hatutakubali, tutamlinda kwa Aina yoyote ya ulinzi uliopo.
Masuala ya kutupeleke kwenye Hali ya Kidimbwi FC aka Yeboyebo aka Vyura FC aka Utopolo asee hatutaki.
Boresheni mtakavyo ila msimvuruge mwanachama mwenzetu MO!
Simba raha milele!
Ili kufikia mafanikio kuna wakati inabidi ufanye maamuzi magumu hizibsheria mbovu ambazo zimetungwa miaka nenda rudi haziendani na mpira wa zama hizi. Mafanikio ya simba au yanga hayaishii kwenye timu tu bali hata taifa. Kinachotakiwa ni kuangalia nini cha kuboresha sio kuharibu ndio maana mwendazake alikuja na utaratibu mmbovu wawekezaji wakakimbia na ajira zikapungua watu wakaishi maisha magumu na kuwa tegemezi wakati yeye hajatengeneza infrastructure nzuriKama hafuati sheria anakimbilia kutafuta Public sympathy kwenye social media ni sawa na bure tu
Eti.....huyu huyu alitekwa na nyie mpo na kanga moko juu.Eti mtamlinda kwan nyie mnaulinz gan kumzd aliokua nao meko mbona kalala ulinzi anao mungu pekee mikia nyinyi na hakuna anaemvuruga kinachotakiwa afate sheria sio kutafuta huruma ya mikia wenzie na nasema hivi mnaanza upya