Hizi Simba na Yanga zinaPublic interest mkuu, kufanya jambo lolote kwa kukurupuka lolote linaweza kutokea......ndiyo maana haziendelei zimeganda tu.....pamoja na hayo Mo anayoyafanya kuna watu wanampinga.....japo pia Mo nayeye anatumia umasikini na utegemezi wa hii timu pamoja na umbumbumbu wa mashabiki kutaka kuipata kirahisiIli kufikia mafanikio kuna wakati inabidi ufanye maamuzi magumu hizibsheria mbovu ambazo zimetungwa miaka nenda rudi haziendani na mpira wa zama hizi. Mafanikio ya simba au yanga hayaishii kwenye timu tu bali hata taifa. Kinachotakiwa ni kuangalia nini cha kuboresha sio kuharibu ndio maana mwendazake alikuja na utaratibu mmbovu wawekezaji wakakimbia na ajira zikapungua watu wakaishi maisha magumu na kuwa tegemezi wakati yeye hajatengeneza infrastructure nzuri
Aliyemteka leo yuko wapi? Chezea mnyama wewe!!!!!!Mbona alipotekwa hatukuwaona
Aliyeamuru MO atekwe hayopo tena[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] acha kuchekesha mkuu , hivi nikuukize unamjua aliyemteka mo ?
Huo ulinzi Wa aina yeyote ndio upi mkuu Hapo mkuu , kama mo alitekwa na wanasimba hamkufanya lolote .
Acha kujitekenya na kucheka mwenyewe
Unapenda ushirikina?Mumlinde na huyo babu yenu mliyempata Msumbiji anayewarahisishia ushindi kwa kudhoofisha timu pinzani,wanga wakubwa nyie
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Punguza hasira ndugu taratibu maumivu yataisha usipayukeEti mtamlinda kwan nyie mnaulinz gan kumzd aliokua nao meko mbona kalala ulinzi anao mungu pekee mikia nyinyi na hakuna anaemvuruga kinachotakiwa afate sheria sio kutafuta huruma ya mikia wenzie na nasema hivi mnaanza upya
Wanafq @ work! Mtamlinda kwa kuwa ana pesa. Ila cku akiishiwa, mtamkimbia nyie.tutamlinda kwa Aina yoyote ya ulinzi uliopo.
Mbona mlishindwa kumlinda wajuba walivyopitanae?Habari!
Naona kuna watu wanataka kuleta majonzi na maumivu kwa Wana Simba, kelele zilianzia kwa jirani na CAS Yao Sasa naona sijui Hao FCC nao wanaanza kuturudisha nyuma.
Fanyeni mfanyavyo but hatuko tayari mshabiki mwenzetu MO kuzuiwa kuwa muwekezaji mkuu.
Sisi wanasimba tunaridhika, tunamuamini na tunajivunia. Tuacheni hivi hivi. Masuala ya kumvuruga hatutakubali, tutamlinda kwa Aina yoyote ya ulinzi uliopo.
Masuala ya kutupeleke kwenye Hali ya Kidimbwi FC aka Yeboyebo aka Vyura FC aka Utopolo asee hatutaki.
Boresheni mtakavyo ila msimvuruge mwanachama mwenzetu MO!
Simba raha milele!
Wameanza ujinga, tatizo wivu wa kijinga unaiponza FCC. Watuachie simba yetu. Au akina mwigulu wameshaanza yao? MTU akishatoka kimaisha ashatoka, hata ufanyeje ili kumkwamisha, utakuwa unapoteza muda wako bure. Simba saizi ni level nyingine, just leave us alone na simba yetu. Huyo mdudu FCC should act wiselyHabari!
Naona kuna watu wanataka kuleta majonzi na maumivu kwa Wana Simba, kelele zilianzia kwa jirani na CAS Yao Sasa naona sijui Hao FCC nao wanaanza kuturudisha nyuma.
Fanyeni mfanyavyo but hatuko tayari mshabiki mwenzetu MO kuzuiwa kuwa muwekezaji mkuu.
Sisi wanasimba tunaridhika, tunamuamini na tunajivunia. Tuacheni hivi hivi. Masuala ya kumvuruga hatutakubali, tutamlinda kwa Aina yoyote ya ulinzi uliopo.
Masuala ya kutupeleke kwenye Hali ya Kidimbwi FC aka Yeboyebo aka Vyura FC aka Utopolo asee hatutaki.
Boresheni mtakavyo ila msimvuruge mwanachama mwenzetu MO!
Simba raha milele!
Mkuu, unakera watu kwakweliTimu ambazo Simba SC inaweza kucheza nazo fainali ya Klabu Bingwa Dunia mwaka huu
1.Man City
2.Chelsea
3.Real Madrid
4.PSG"
Mlindeni hata Hamis kigwangala. Anawaombea 20b zenu kwa MO.