Wanasimba tutamlinda MO kwa nguvu zote

Wanasimba tutamlinda MO kwa nguvu zote

Mimi ni Mshabiki wa simba kindaki ndaki lkn huwa sifahamu kazi ya MO kwa timu ya Simba haswa ni nini?

Kuna haja kwa vionhozi wa simba wawe wanajitokeza kwenye vyombo vya habari mara kwa mara ili nasi mashabiki tuwe tunajua kazi zao.
 
FCC wanatumika.... Mkurugenzi wake ni shabiki wa kutupwa wa Yanga..
 
Ili kufikia mafanikio kuna wakati inabidi ufanye maamuzi magumu hizibsheria mbovu ambazo zimetungwa miaka nenda rudi haziendani na mpira wa zama hizi. Mafanikio ya simba au yanga hayaishii kwenye timu tu bali hata taifa. Kinachotakiwa ni kuangalia nini cha kuboresha sio kuharibu ndio maana mwendazake alikuja na utaratibu mmbovu wawekezaji wakakimbia na ajira zikapungua watu wakaishi maisha magumu na kuwa tegemezi wakati yeye hajatengeneza infrastructure nzuri
Hizi Simba na Yanga zinaPublic interest mkuu, kufanya jambo lolote kwa kukurupuka lolote linaweza kutokea......ndiyo maana haziendelei zimeganda tu.....pamoja na hayo Mo anayoyafanya kuna watu wanampinga.....japo pia Mo nayeye anatumia umasikini na utegemezi wa hii timu pamoja na umbumbumbu wa mashabiki kutaka kuipata kirahisi
 
Kwa mazuri anayoyafanya MO, hata mchakato ukianza upya sisi tutampitisha tu.

Wanapoteza bure muda wao kumuwekea vikwazo na kuchelewesha mabadiliko. Sisi wanachama tushaamua kumkabidhi timu MO na matunda yake tushayaona na tumeshanogewa.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] acha kuchekesha mkuu , hivi nikuukize unamjua aliyemteka mo ?
Huo ulinzi Wa aina yeyote ndio upi mkuu Hapo mkuu , kama mo alitekwa na wanasimba hamkufanya lolote .
Acha kujitekenya na kucheka mwenyewe
Aliyeamuru MO atekwe hayopo tena
 
Eti mtamlinda kwan nyie mnaulinz gan kumzd aliokua nao meko mbona kalala ulinzi anao mungu pekee mikia nyinyi na hakuna anaemvuruga kinachotakiwa afate sheria sio kutafuta huruma ya mikia wenzie na nasema hivi mnaanza upya
Punguza hasira ndugu taratibu maumivu yataisha usipayuke
 
Habari!

Naona kuna watu wanataka kuleta majonzi na maumivu kwa Wana Simba, kelele zilianzia kwa jirani na CAS Yao Sasa naona sijui Hao FCC nao wanaanza kuturudisha nyuma.

Fanyeni mfanyavyo but hatuko tayari mshabiki mwenzetu MO kuzuiwa kuwa muwekezaji mkuu.

Sisi wanasimba tunaridhika, tunamuamini na tunajivunia. Tuacheni hivi hivi. Masuala ya kumvuruga hatutakubali, tutamlinda kwa Aina yoyote ya ulinzi uliopo.

Masuala ya kutupeleke kwenye Hali ya Kidimbwi FC aka Yeboyebo aka Vyura FC aka Utopolo asee hatutaki.

Boresheni mtakavyo ila msimvuruge mwanachama mwenzetu MO!

Simba raha milele!
Mbona mlishindwa kumlinda wajuba walivyopitanae?
 
Wameanza ujinga, tatizo wivu wa kijinga unaiponza FCC. Watuachie simba yetu. Au akina mwigulu wameshaanza yao? MTU akishatoka kimaisha ashatoka, hata ufanyeje ili kumkwamisha, utakuwa unapoteza muda wako bure. Simba saizi ni level nyingine, just leave us alone na simba yetu. Huyo mdudu FCC should act wisely
 
Back
Top Bottom