Wanasimba tuungane kumtafuta Mo

Kweli jitahidini kumtafuta maana bila yeye mtakuwa wa kumi na nane wala si muda mwingi


Suspect wa kwanza utakuwa ni wewe!
au zile msg za tuma hela kwenye number hii imefail mmeamua mchukue kwa nguvu
 
watu wa meditation hapa ndo wananiachaga hoi.wanashindwa kufungua mlango wa sita?kujua moo yupo wapi?
 
Msemaji wa Simba H manara amesema tuwaachie vyombo vya dola, mkuu wa mkoa amesema anaamini atapatikana akiwa mzima, lkn kama ikitokea sehemu ulipo ukaona kama hapaeleweki unaweza kutoa taarifa
Makonda ana mawenge sana.
 
Sawa mkuu kilichobaki wana simba wote kila mmoja aingie kwenye pori jirani na kwake mjaribu kumtafuta huko.
 
Na asipatikane mkuu, maana wanasimba mmekua kiburi sana mjini sababu yake[emoji23][emoji23]
 
Polisi wetu masaa yote hayo wameshafail
Polisi siyo malaika au waganga wa kienyeji kama unavyofikiri. Tutoe ushirikiano kwao kwa kuwapa taarifa zitakazowezesha na kupelekea kupatikana kwake.
 
watu wa meditation hapa ndo wananiachaga hoi.wanashindwa kufungua mlango wa sita?kujua moo yupo wapi?
Bongo wanajua kulogana kuzibiana riziki but kuloga kufanya maendeleo hawajui
 
Ila watakuwa wametulostisha sana.
Daaah huko alipo sijui ana hali gani.wapambane wampate.isije ikawa ndo ngoma ntolee.[emoji22][emoji22][emoji22]
Timu haiwez kuyumba tuna wawekezaji wengi shida huyu jamaa ni tajiri wa pekee tuliowahi kufanya kazi naye tunamjua
 
Itabidi tuandamane kama wenzetu walivyoenda pale mahala na kupiga kambi huku wakipiga kelele za free our president. Mie niko tayari, #pray4Mo
 
#nyerereday2018
#bethelegacy
#bringbackourMO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…