Wanasimba tuungane kumtafuta Mo

Wanasimba tuungane kumtafuta Mo

Kweli jitahidini kumtafuta maana bila yeye mtakuwa wa kumi na nane wala si muda mwingi


Suspect wa kwanza utakuwa ni wewe!
au zile msg za tuma hela kwenye number hii imefail mmeamua mchukue kwa nguvu
 
watu wa meditation hapa ndo wananiachaga hoi.wanashindwa kufungua mlango wa sita?kujua moo yupo wapi?
 
Msemaji wa Simba H manara amesema tuwaachie vyombo vya dola, mkuu wa mkoa amesema anaamini atapatikana akiwa mzima, lkn kama ikitokea sehemu ulipo ukaona kama hapaeleweki unaweza kutoa taarifa
Makonda ana mawenge sana.
 
Mpaka mda huu hajapatikana na mimi kama mkereketwa wa Simba na Amani kwa ujumla niwasihi wanasimba popote mlipo iwe vyombo vya usalama, ofisi za uma, michezoni, nje ya mipaka, ndani ya mipaka na sisi wanasimba tulio ndani ya mamlaka bila kuogopa chochote tupigane Mo apatikane akiwa mzima Inshaalah.
Sawa mkuu kilichobaki wana simba wote kila mmoja aingie kwenye pori jirani na kwake mjaribu kumtafuta huko.
 
Na asipatikane mkuu, maana wanasimba mmekua kiburi sana mjini sababu yake[emoji23][emoji23]
 
Ila watakuwa wametulostisha sana.
Daaah huko alipo sijui ana hali gani.wapambane wampate.isije ikawa ndo ngoma ntolee.[emoji22][emoji22][emoji22]
Timu haiwez kuyumba tuna wawekezaji wengi shida huyu jamaa ni tajiri wa pekee tuliowahi kufanya kazi naye tunamjua
 
Itabidi tuandamane kama wenzetu walivyoenda pale mahala na kupiga kambi huku wakipiga kelele za free our president. Mie niko tayari, #pray4Mo
 
Back
Top Bottom