Librarian 105
JF-Expert Member
- May 6, 2023
- 261
- 356
Kaka hili la kuifunga yanga mnalipotosha, alichosema kati ya niliyoyaahidi nimefanikiwa moja la kumfunga yanga na si kwambwa ametimiza malengo yake yote aliyojiwekeaView attachment 2632152Msimu mwingine bila kombe kwa wanasimba. Kebehi ya mtani ni: tayari ushindi wa SIMBA SC ni ahadi ya mwenyekiti wake kuifunga YANGA.
View attachment 2632162
mindset ya mwenyekiti huyu ndo naihoji, kisha najiuliza, wanasimba wanatarajia nini msimu ujao chini ya uongozi wake?!
Ni kuifunga tena YANGA au nini?
lakini hii ya kuifunga yanga haikukaa sawa kwa legacy ya simba sasa hivi. Ni vyema apambane kuzihusisha hisa asilimia 51 za wanachama.Kaka hili la kuifunga yanga mnalipotosha, alichosema kati ya niliyoyaahidi nimefanikiwa moja la kumfunga yanga na si kwambwa ametimiza malengo yake yote aliyojiwekea
Halafu mkapewa kombe la HistoryHayakuhusu
Tuache na simba yetu
simba 2
yanga 0
Wewe ndo jukumuelewa. Aliposema Wanasimba hawamdai alimaanisha nini kama kuna mengine hakutumiza?Kaka hili la kuifunga yanga mnalipotosha, alichosema kati ya niliyoyaahidi nimefanikiwa moja la kumfunga yanga na si kwambwa ametimiza malengo yake yote aliyojiwekea
Kwa legacy ya simba hakika ni mtihani. Lakini kwa mambo ya utani, ni mojawapo ya lengo.Dah! Mpira Wa Bongo Raha Sana! Yaani SIMBA kumpiga viwili tu Mtani! Ndiyo mojawapo ya lengo!
Bravo!Wewe ndo jukumuelewa. Aliposema Wanasimba hawamdai alimaanisha nini kama kuna mengine hakutumiza?
je, kwa style hii unampa changamoto gani mwenyekiti wako? Usitazame jambo hili kihisiaHayakuhusu
Tuache na simba yetu
simba 2
yanga 0
Uhalisia wa mashabiki wa kitanzania ndo huo.je, kwa style hii unampa changamoto gani mwenyekiti wako? Usitazame jambo hili kihisia
Manzoki kuja kuwasalimia wana SimbaView attachment 2632152
Msimu mwingine bila kombe kwa wanasimba. Kebehi ya mtani ni: tayari ushindi wa SIMBA SC ni ahadi ya mwenyekiti wake kuifunga YANGA.
View attachment 2632162
Mindset ya mwenyekiti huyu ndo naihoji, kisha najiuliza, wanasimba wanatarajia nini msimu ujao chini ya uongozi wake?! Ni kuifunga tena YANGA au nini?
Umesema vizuri kaka.Uhalisia wa mashabiki wa kitanzania ndo huo.
Umesema vizuri kaka. Chukua maua yakoUhalisia wa mashabiki wa kitanzania ndo huo.
kwa hiyo tatizo kuu la simba ni la kimfumo wa uongozi na uwekezaji wa mo dewji?moo aachane na madalali akina try again.barbara alikuwa anachukiwa kisa hakutaka madalali.mpaka wakaanza kumsema mtoto wa watu kuwa kahamishia ofisi kwenye gari.babra akaona isiwe tabu akawaachia timu yao
Mafanikio ya klabu yanapimwa na kitu gani?Mwenyekiti aongee lugha gani ili umuelewe?
Ameshasema wazi Wana simba hawana cha kumdai ahadi yake ametimiza, mambo ya makombe unsyajuwa wewe hayo.
halafu kuna uwingu kwa mashabiki wa kumtakamudathir yahya alikuwa anataka mil 50 aende simba madalali wakaenda kumwambia babra mudathir anataka mil 100.babra akakataa.leo mudathir ni yebo yebo