Wanasimba wanatarajia nini chini ya uenyekiti wa Murtaza Ally Mangungu?

100%.ni kama matatizo ya tanzania yanasababishwa na ccm.timu inaanza kwenye uongozi..alaf ndo unakuja uwanjani
tuko pamoja kaka. Mfano, mshabiki wa yanga anajipa credits za kukamilisha (kulingana na madai yao) transfomation kwa kuikejeli simba, akisahau wepesi walioupata yanga ni jitihada za simba kufungua njia BMT kubadili kwanza katiba yao ili kuruhusu mchakato wa mabadiliko kwa vilabu nchini.
 
Ninavyokumbuka Yanga ndio walioanza, utawala ule wa Bashite & co, ukaiwekea vikwanzo kupitia BMT.
Manji aliambiwa wazi wazi kama anataka akaanzishe timu yake, wakati yeye wala hakutaka kuinunua Yanga alitaka akodishwe kwa miaka kumi tu, na Mkutano Mkuu ulikuwa umeshapitisha na kampuni zilikuwa tayari zimeshaundwa ambapo kulikuwa kuwe na Kampuni 3.
Baadae Simba nao ndio wakaanza mchakayo wao ambao mwanzoni haukupata vikwanzo, katikati huku ndio kukajitokeza figisu.
 
Ndio. Wepesi niliouaminisha ni kwamba, simba walikutana na kigingi kivipi, Katiba ya BMT ilikua nayo haina vifungu vya kutambua vilabu kuendeshwa kikampuni. Ilibidi wabadili kwanza katiba yao ili vilabu vinapokuja kuwasilisha maombi ya transformation sheria mama ya soka nchini iwe na mandatory kisheria kupokea maombi yao
 
Nimekuelewa.
 
Mpira wa kisasa unahitaji viongozi wenye weledi na pesa yakutosha.

Kuchagua viongozi wanaofuata kulipwa mishahala ndani ya vilabu ni kupitwa na wakati.

Uongozi wa vilabu binafsi ulenge kupata wadau wa kuisaidia timu na sio kuwapa watu ajira.
 
Unategemea nini, ikiwa Mwenyekiti na baadhi ya Directors ni retired officers. Kula yao inategemea wanachoweza kupata Simba
 
Hoja ya msingi. Nakupa nyota nne mkuu
 
Unategemea nini, ikiwa Mwenyekiti na baadhi ya Directors ni retired officers. Kula yao inategemea wanachoweza kupata Simba
ni retired officers sawa, kwangu sio tatizo, bali mchango wao ndo wakuhojiwa katika maendeleo ya klabu
 
Wewe ndo jukumuelewa. Aliposema Wanasimba hawamdai alimaanisha nini kama kuna mengine hakutumiza?
Hebu soma ulichoandika uone makosa uliyofanya, rekebisha halafu twende sawa
 
View attachment 2632152

Msimu mwingine bila kombe kwa wanasimba. Kebehi ya mtani ni: tayari ushindi wa SIMBA SC ni ahadi ya mwenyekiti wake kuifunga YANGA.

View attachment 2632162

Mindset ya mwenyekiti huyu ndo naihoji, kisha najiuliza, wanasimba wanatarajia nini msimu ujao chini ya uongozi wake?! Ni kuifunga tena YANGA au nini?
Watarajie fursa nyingine ya kupiga picha na Manzoki
 
Mangungu kachaguliwa Simba ili alipwe mshahala tu basi.
Na sijui kwa kazi gani.

Hana mchango wowote kwa timu zaidi ya kudai mshahala.

Simba acheni kuwapa watu ajira hapo clabuni kwa zama hizi.

Viongozi wa vilabu wawe wenye uwezo kipesa, kama akina Hanspop na Kaburu nk. ambao wanaweza hata kufanya usajiri wa wachezaji kwa pesa yao.

Igeni kwa timu ya Yanga, washaachana na viongozi Mishahala.
Ndio maana wako fainali.
 
View attachment 2632152

Msimu mwingine bila kombe kwa wanasimba. Kebehi ya mtani ni: tayari ushindi wa SIMBA SC ni ahadi ya mwenyekiti wake kuifunga YANGA.

View attachment 2632162

Mindset ya mwenyekiti huyu ndo naihoji, kisha najiuliza, wanasimba wanatarajia nini msimu ujao chini ya uongozi wake?! Ni kuifunga tena YANGA au nini?
Kombe la Inonga kushangilia kumkaba Mayele.
 
Back
Top Bottom