Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 14,938
- 25,405
Wewe uangushe point kwa uzembe wako uanze kusingizia timu nyingine zinakuhujumu. Acha kutafuta huruma ya kimama weweKwa hali hii sitolalamika Tena Simba akiangusha pointi ama akikosa ubingwa msimu huu, nimeshajiandaa kisaikolojia.
Sidhani kama kwa haya niliyoyaona Leo maana baada ya mpira kwisha stori zilikuwa nyingi sana baina ya Rais wao na wachezaji wa Black Stars, walikuwa wanafurahia vituko vya uswahilini.Mara Rais yuko na JOnathan, mara Yuko na Ayoub Lyanga, mara anaonekana akiwa na Arthur yaani ni full maongezi na Raha.
Leo nimethibitisha dhahiri shahiri kuwa Simba kubebwa ubingwa sio KAZI ndogo, Sasa hivi wameshaingia kwenye mfumo wa viporo tayari, Kuna timu zimeandaliwa kumharibia kabisa mnyama, timu yetu ni kama yatima, inachukiwa mno na baadhi ya timu kwa sababu ya mafanikio kimataifa.
Leo walikuwa wanaachwa kwa pointi nyingi lakini wamefanya mambo ya kitoto sana, this is totally match fixing.Kwa hali hii sitolalamika Tena Simba akiangusha pointi ama akikosa ubingwa msimu huu, nimeshajiandaa kisaikolojiau
Ubora wa timu ndio unaokufanya ukate tamaa mapema. Umefanya vema kuishusha presha mapemaSidhani kama kwa haya niliyoyaona Leo maana baada ya mpira kwisha stori zilikuwa nyingi sana baina ya Rais wao na wachezaji wa Black Stars, walikuwa wanafurahia vituko vya uswahilini.Mara Rais yuko na JOnathan, mara Yuko na Ayoub Lyanga, mara anaonekana akiwa na Arthur yaani ni full maongezi na Raha.
Leo nimethibitisha dhahiri shahiri kuwa Simba kubebwa ubingwa sio KAZI ndogo, Sasa hivi wameshaingia kwenye mfumo wa viporo tayari, Kuna timu zimeandaliwa kumharibia kabisa mnyama, timu yetu ni kama yatima, inachukiwa mno na baadhi ya timu kwa sababu ya mafanikio kimataifa.
Leo walikuwa wanaachwa kwa pointi nyingi lakini wamefanya mambo ya kitoto sana, this is totally match fixing.Kwa hali hii sitolalamika Tena Simba akiangusha pointi ama akikosa ubingwa msimu huu, nimeshajiandaa kisaikolojia.
Uwezo wa timu yako ndio unaokukatisha tamaa mapema. Umefanya vema kuishusha presha mapema.Sidhani kama kwa haya niliyoyaona Leo maana baada ya mpira kwisha stori zilikuwa nyingi sana baina ya Rais wao na wachezaji wa Black Stars, walikuwa wanafurahia vituko vya uswahilini.Mara Rais yuko na JOnathan, mara Yuko na Ayoub Lyanga, mara anaonekana akiwa na Arthur yaani ni full maongezi na Raha.
Leo nimethibitisha dhahiri shahiri kuwa Simba kubebwa ubingwa sio KAZI ndogo, Sasa hivi wameshaingia kwenye mfumo wa viporo tayari, Kuna timu zimeandaliwa kumharibia kabisa mnyama, timu yetu ni kama yatima, inachukiwa mno na baadhi ya timu kwa sababu ya mafanikio kimataifa.
Leo walikuwa wanaachwa kwa pointi nyingi lakini wamefanya mambo ya kitoto sana, this is totally match fixing.Kwa hali hii sitolalamika Tena Simba akiangusha pointi ama akikosa ubingwa msimu huu, nimeshajiandaa kisaikolojia.
YANGA walikuwa busy na harusi....wameshinda vipi tena !!!!!ππππππ¬π¬π¬Sidhani kama kwa haya niliyoyaona Leo maana baada ya mpira kwisha stori zilikuwa nyingi sana baina ya Rais wao na wachezaji wa Black Stars, walikuwa wanafurahia vituko vya uswahilini.Mara Rais yuko na JOnathan, mara Yuko na Ayoub Lyanga, mara anaonekana akiwa na Arthur yaani ni full maongezi na Raha.
Leo nimethibitisha dhahiri shahiri kuwa Simba kubebwa ubingwa sio KAZI ndogo, Sasa hivi wameshaingia kwenye mfumo wa viporo tayari, Kuna timu zimeandaliwa kumharibia kabisa mnyama, timu yetu ni kama yatima, inachukiwa mno na baadhi ya timu kwa sababu ya mafanikio kimataifa.
Leo walikuwa wanaachwa kwa pointi nyingi lakini wamefanya mambo ya kitoto sana, this is totally match fixing.Kwa hali hii sitolalamika Tena Simba akiangusha pointi ama akikosa ubingwa msimu huu, nimeshajiandaa kisaikolojia.
Yale sio mapenzi ni mahaba πππMpira sio uadui ndugu yangu.
Tatizo mnaendekeza hisia, hivyo viporo vimetokana na Nini? kwa hiyo ajari ya timu ya Dodoma ilipangwa na yanga pia? au una maanisha nini kusema hivyo?π, Sasa hivi wameshaingia kwenye mfumo wa viporo tayari,