Wanasimba wenzangu kwa mazingira yaliyoonekana Leo uwanja wa KMC kwa mtu mzima kubebwa dhahiri shahiri tusiwe sana na mategemeo ya ubingwa

Sidhani kama kwa haya niliyoyaona Leo maana baada ya mpira kwisha stori zilikuwa nyingi sana baina ya Rais wao na wachezaji wa Black Stars, walikuwa wanafurahia vituko vya uswahilini.Mara Rais yuko na JOnathan, mara Yuko na Ayoub Lyanga, mara anaonekana akiwa na Arthur yaani ni full maongezi na Raha.

Leo nimethibitisha dhahiri shahiri kuwa Simba kubebwa ubingwa sio KAZI ndogo, Sasa hivi wameshaingia kwenye mfumo wa viporo tayari, Kuna timu zimeandaliwa kumharibia kabisa mnyama, timu yetu ni kama yatima, inachukiwa mno na baadhi ya timu kwa sababu ya mafanikio kimataifa.

Leo walikuwa wanaachwa kwa pointi nyingi lakini wamefanya mambo ya kitoto sana, this is totally match fixing.Kwa hali hii sitolalamika Tena Simba akiangusha pointi ama akikosa ubingwa msimu huu, nimeshajiandaa kisaikolojiau

Sidhani kama kwa haya niliyoyaona Leo maana baada ya mpira kwisha stori zilikuwa nyingi sana baina ya Rais wao na wachezaji wa Black Stars, walikuwa wanafurahia vituko vya uswahilini.Mara Rais yuko na JOnathan, mara Yuko na Ayoub Lyanga, mara anaonekana akiwa na Arthur yaani ni full maongezi na Raha.

Leo nimethibitisha dhahiri shahiri kuwa Simba kubebwa ubingwa sio KAZI ndogo, Sasa hivi wameshaingia kwenye mfumo wa viporo tayari, Kuna timu zimeandaliwa kumharibia kabisa mnyama, timu yetu ni kama yatima, inachukiwa mno na baadhi ya timu kwa sababu ya mafanikio kimataifa.

Leo walikuwa wanaachwa kwa pointi nyingi lakini wamefanya mambo ya kitoto sana, this is totally match fixing.Kwa hali hii sitolalamika Tena Simba akiangusha pointi ama akikosa ubingwa msimu huu, nimeshajiandaa kisaikolojia.
Ubora wa timu ndio unaokufanya ukate tamaa mapema. Umefanya vema kuishusha presha mapema
Sidhani kama kwa haya niliyoyaona Leo maana baada ya mpira kwisha stori zilikuwa nyingi sana baina ya Rais wao na wachezaji wa Black Stars, walikuwa wanafurahia vituko vya uswahilini.Mara Rais yuko na JOnathan, mara Yuko na Ayoub Lyanga, mara anaonekana akiwa na Arthur yaani ni full maongezi na Raha.

Leo nimethibitisha dhahiri shahiri kuwa Simba kubebwa ubingwa sio KAZI ndogo, Sasa hivi wameshaingia kwenye mfumo wa viporo tayari, Kuna timu zimeandaliwa kumharibia kabisa mnyama, timu yetu ni kama yatima, inachukiwa mno na baadhi ya timu kwa sababu ya mafanikio kimataifa.

Leo walikuwa wanaachwa kwa pointi nyingi lakini wamefanya mambo ya kitoto sana, this is totally match fixing.Kwa hali hii sitolalamika Tena Simba akiangusha pointi ama akikosa ubingwa msimu huu, nimeshajiandaa kisaikolojia.
Uwezo wa timu yako ndio unaokukatisha tamaa mapema. Umefanya vema kuishusha presha mapema.
 
Sidhani kama kwa haya niliyoyaona Leo maana baada ya mpira kwisha stori zilikuwa nyingi sana baina ya Rais wao na wachezaji wa Black Stars, walikuwa wanafurahia vituko vya uswahilini.Mara Rais yuko na JOnathan, mara Yuko na Ayoub Lyanga, mara anaonekana akiwa na Arthur yaani ni full maongezi na Raha.

Leo nimethibitisha dhahiri shahiri kuwa Simba kubebwa ubingwa sio KAZI ndogo, Sasa hivi wameshaingia kwenye mfumo wa viporo tayari, Kuna timu zimeandaliwa kumharibia kabisa mnyama, timu yetu ni kama yatima, inachukiwa mno na baadhi ya timu kwa sababu ya mafanikio kimataifa.

Leo walikuwa wanaachwa kwa pointi nyingi lakini wamefanya mambo ya kitoto sana, this is totally match fixing.Kwa hali hii sitolalamika Tena Simba akiangusha pointi ama akikosa ubingwa msimu huu, nimeshajiandaa kisaikolojia.
YANGA walikuwa busy na harusi....wameshinda vipi tena !!!!!😖😖😖😖😖😬😬😬
 
Back
Top Bottom