Lee Van free
JF-Expert Member
- Aug 14, 2024
- 1,535
- 5,332
Hongera sana Simba,timu ya mfano Tanzania na Africa mashariki. Timu wa kipimo Cha timu nyingine,
Timu waanzilishi wengine wanafuata,Timu bunifu,wengine wanafuata,
Timu yenye hadhi inayolipatiaga taifa heshima. Nawaomba sana tumpe heshima Aishi Manula
Aishi Manula ameitoa Simba mbali sana.
Huyu mwamba ametuvusha na ametupa heshima Simba miaka zaidi ya mitano kimataifa.Naomba tusimsahaubmwamba huyu,naomba tuwe na kumbukumbu juu ya mtu huyu.
Tusiwe wepesi wa kusahau. Huyu mwamba inatakiwa ajengewe sanamu.. Wanasimba tunakuaga na furaha kubwa sana kwenye mafanikio lakini ni wepesi sana kuwasahau waliotupatia mafanikio hayo.
Aishi Maula ana historia Simba,tumpe heshima yake. Hapa ilipofika Simba Manula ana jasho lake.
Ila napenda kuwafahamisha kua Simba Ina bahati ya Makipa.
Tuanzie hapa TU. Makipa waliotingisha nchi kutoka Simba ni.
-Athuman Mambosasa
-Omar Mahadhi
-Iddi Pazi
-Mohamed Mwameja
-Aish Manula
-Juma kaseja
Na Sasa
Musa kamara.
Kama Kuna niliemsahau mtanikumbusha.
Ila Aishi Manula apewe heshima yake tuache tabia ya kusahau waliotuvusha.
Mwamba ilituvusha .