Wanasimba wenzangu naomba tuwe na shukurani,Manula aheshimiwe

Kuna mwamba kutoka Burundi anaitwa Makenzi Ramadhani, alisimama vyema langoni
 
Kaseja ametufikisha hatua ya makundi mara moja mwaka 2003, Manula hatua ya robo mara kadhaa.
Apewe heshima yake, ingawa Hassan Mlapakolo ametufikisha semi final mwaka 1974 naye akumbukwe.
Mwameja fainali 93
 
Manula hatuwezi kumbeza hata kidogo wanaombeza wana shida pahala...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…