Wanasimba wenzangu tusijidanganye, Berkane sio Al Masry au Constantine

Nucky Thompson

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2016
Posts
2,194
Reaction score
4,805
Baada ya matokeo ya 2-0 dhidi ya Berkane kule Morocco nimeoana wanasimba wengi wakifurahia haya matokeo, kuwa watapindua meza (Remontada) na kuwafunga Betkane kwenye mechi ya marudio kama walivyofanya kwa timu mbili za kiarabu, Constantine na All Masry

Ila kwa nilivyowatazama Berkane ile ni timi ya tofauti kabisa, wachezaji wake wana quality ya hali ya juu sio kama wale wa Al Masry na tunatakiwa kushukuru tumepigwa goli mbili tu

mechi ya Al Masry Simba aliitawala sema akafungwa tu goli mbili bahati mbaya

Itakuwa ngumu sana kuwafunga hata goli moja
 
Ukweli mchungu
 
Mkuu berkane hawana furaha maana wanajua dozi watakayokuja kupewa huku lakini cha kushangaza hawa waingiziwa mwiko wanabashashsha utafikiri Berkane wakitwaa ubingwa wao wanapata mgawo.

#waingiziwa mwiko hii match haiwahusu hivyo watulie.
 
Hao unawasifia walifungwa goli 1 na Constatine au ni Berkane nyingine?Raundi ya pili ikichezwa Kwa Mkapa Berkane atafungwa atake asitake.
 
Kwenye uzi wa mechi niliongea makolo watakandwa tatu bila ikawa mbili na nikasema watasema tutapindua meza na ndo imetokea , sasa nasema tena mechi ya mwisho itakuwa droo ya goli moja moja, nao makolo watarudi kwenye ndondo ligi kuu kuendelea kuhonga marefa na niwaambie tu mwaka huu hakuna kunyanyua makwapa watatoka kapa
 
Kwa hiyo Gongowazi mpo kwenye Ndondo ligi kuu.?Wewe sio katika wale wawili wenye akili lakini unaonyesha matumaini ya kupona.Ongeza bidii.
 
Kwani si usubirie hiyo siku mzee. Mbona unamashaka kama game inachezwa mwaka 2026 wakati ni next week.
 
Reactions: Tui
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…