adriz
JF-Expert Member
- Sep 2, 2017
- 17,595
- 39,893
Wako kama Mgerasi Semenya The Mongolian SavageWana Simba ni mambumbu achana nao
Wako kama Mgerasi Semenya The Mongolian SavageWana Simba ni mambumbu achana nao
Waliosema hivyo kwa Al Masry walikuwa wajinga, sababu mechi ya Al Masry Simba aliitawala sema akafungwa tu goli mbili bahati mbaya kaangalie statistics za game ulinganishehata al masry mlisema hivi hivi
Ahahaaaa au penda kumuita myebusi The Mongolian SavageWako kama Mgerasi Semenya The Mongolian Savage
kwa hyo tunakubaliana berkane wazuri?Waliosema hivyo kwa Al Masry walikuwa wajinga, sababu mechi ya Al Masry Simba aliitawala sema akafungwa tu goli mbili bahati mbaya kaangalie statistics za game ulinganishe
Simba akifunga hata goli moja mniue.Baada ya matokeo ya 2-0 dhidi ya Berkane kule Morocco nimeoana wanasimba wengi wakifurahia haya matokeo, kuwa watapindua meza (Remontada) na kuwafunga Betkane kwenye mechi ya marudio kama walivyofanya kwa timu mbili za kiarabu, Constantine na All Masry
Ila kwa nilivyowatazama Berkane ile ni timi ya tofauti kabisa, wachezaji wake wana quality ya hali ya juu sio kama wale wa Al Masry na tunatakiwa kushukuru tumepigwa goli mbili tu
mechi ya Al Masry Simba aliitawala sema akafungwa tu goli mbili bahati mbaya
Itakuwa ngumu sana kuwafunga hata goli moja
Yaani kwa ujinga ule unajiona kabisa utamfunga Berkane. Kwa akili kama hizi ndio maana Mhindi anawalia sana vihela vyenu vya betting.kwa hyo tunakubaliana berkane wazuri?
wakija hapa wakifungwa na kombe likabaki msije kusema nao wabovu
We call it Over Confidence.
Kwenye mpira hatuna bahati mabaya hiyobahatimbaya ndio uzembe wenyewe manake hata janakufungwa inaweza sema bahati mbaya.wale wanacheza kiteam na Wana mipango ogopa team yenye mipango aisee hawa nikama westham au Nottingham forest we ukiwa na mpira wenyewe wanabana vyumba .dawa ya team hiz hitakiwi kumiliki mpira sana washambulie Sanaa weukimiliki mpira la pasi fupifipi hawachoki hao ndio maana Jana wachezaji wasimba walichoka nakocha ana shida maharaBaada ya matokeo ya 2-0 dhidi ya Berkane kule Morocco nimeoana wanasimba wengi wakifurahia haya matokeo, kuwa watapindua meza (Remontada) na kuwafunga Betkane kwenye mechi ya marudio kama walivyofanya kwa timu mbili za kiarabu, Constantine na All Masry
Ila kwa nilivyowatazama Berkane ile ni timi ya tofauti kabisa, wachezaji wake wana quality ya hali ya juu sio kama wale wa Al Masry na tunatakiwa kushukuru tumepigwa goli mbili tu
mechi ya Al Masry Simba aliitawala sema akafungwa tu goli mbili bahati mbaya
Itakuwa ngumu sana kuwafunga hata goli moja
Kwenye kila kitu kuna bahati ina play part, hata kwenye maisha kuna situation bahati inambeba mtu mwingine haimbebiKwenye mpira hatuna bahati mabaya hiyobahatimbaya ndio uzembe wenyewe manake hata janakufungwa inaweza sema bahati mbaya.wale wanacheza kiteam na Wana mipango ogopa team yenye mipango aisee hawa nikama westham au Nottingham forest we ukiwa na mpira wenyewe wanabana vyumba .dawa ya team hiz hitakiwi kumiliki mpira sana washambulie Sanaa weukimiliki mpira la pasi fupifipi hawachoki hao ndio maana Jana wachezaji wasimba walichoka nakocha ana shida mahara
Kikubwa watakuwa wamekata zile ngebe za medali . Bado wanajenga timu hakuna wanachodaiwa.Mwakani ni mabingwa wa CAFCLKwenye uzi wa mechi niliongea makolo watakandwa tatu bila ikawa mbili na nikasema watasema tutapindua meza na ndo imetokea , sasa nasema tena mechi ya mwisho itakuwa droo ya goli moja moja, nao makolo watarudi kwenye ndondo ligi kuu kuendelea kuhonga marefa na niwaambie tu mwaka huu hakuna kunyanyua makwapa watatoka kapa
If people tell you that you are too confident it’s a flag they’re just trying to drag you down to their levelWe call it Over Confidence.
Mimi nilichoona ni kwamba RS Berkane wameingiwa na hofuBaada ya matokeo ya 2-0 dhidi ya Berkane kule Morocco nimeoana wanasimba wengi wakifurahia haya matokeo, kuwa watapindua meza (Remontada)
Kweli Simba walitakiwa wazuie wasifungwe zaid ya goli moja kwasababu Waarabu watakuja kutafuta droo tu na kujiangusha.Baada ya matokeo ya 2-0 dhidi ya Berkane kule Morocco nimeoana wanasimba wengi wakifurahia haya matokeo, kuwa watapindua meza (Remontada) na kuwafunga Betkane kwenye mechi ya marudio kama walivyofanya kwa timu mbili za kiarabu, Constantine na All Masry
Ila kwa nilivyowatazama Berkane ile ni timi ya tofauti kabisa, wachezaji wake wana quality ya hali ya juu sio kama wale wa Al Masry na tunatakiwa kushukuru tumepigwa goli mbili tu
mechi ya Al Masry Simba aliitawala sema akafungwa tu goli mbili bahati mbaya
Itakuwa ngumu sana kuwafunga hata goli moja
Simba wafahamu tu kwa ukuta wao mbovu, wale Berkane hawawezi wakawaacha salama ndani ya dakika zote 90 kwenye mchezo wa marudio!Baada ya matokeo ya 2-0 dhidi ya Berkane kule Morocco nimeoana wanasimba wengi wakifurahia haya matokeo, kuwa watapindua meza (Remontada) na kuwafunga Betkane kwenye mechi ya marudio kama walivyofanya kwa timu mbili za kiarabu, Constantine na All Masry