Wanasimba wenzangu tusijidanganye, Berkane sio Al Masry au Constantine

hata al masry mlisema hivi hivi
Waliosema hivyo kwa Al Masry walikuwa wajinga, sababu mechi ya Al Masry Simba aliitawala sema akafungwa tu goli mbili bahati mbaya kaangalie statistics za game ulinganishe
 
Jamaa wanapiga bolu,ilibidi sisi ndio tuanze kupoteza muda.Tumshukuru golikipa wetu maana alijiongeza kwakuona jamaa bado wana utaka ubingwa waumalizie kwao.Tunvekaza fuvu tungekula chuma za kutosha.Mpira wetu mwingi unabebwa na propaganda za mdomo wa mashabiki na viongozi pamoja na vyombo vya habari ila bado tuko nyuma.Kuna mwamba anaitwa Camara yule jamaa anapiga bolu na hana maneno na mtu.Tumefungwa kihalali kabisa.tukajipange upya.
 
 

Attachments

  • Screenshot_20250518-101203.png
    875.5 KB · Views: 21
Waliosema hivyo kwa Al Masry walikuwa wajinga, sababu mechi ya Al Masry Simba aliitawala sema akafungwa tu goli mbili bahati mbaya kaangalie statistics za game ulinganishe
kwa hyo tunakubaliana berkane wazuri?
wakija hapa wakifungwa na kombe likabaki msije kusema nao wabovu
 
Simba akifunga hata goli moja mniue.
 
Kwenye mpira hatuna bahati mabaya hiyobahatimbaya ndio uzembe wenyewe manake hata janakufungwa inaweza sema bahati mbaya.wale wanacheza kiteam na Wana mipango ogopa team yenye mipango aisee hawa nikama westham au Nottingham forest we ukiwa na mpira wenyewe wanabana vyumba .dawa ya team hiz hitakiwi kumiliki mpira sana washambulie Sanaa weukimiliki mpira la pasi fupifipi hawachoki hao ndio maana Jana wachezaji wasimba walichoka nakocha ana shida mahara
 
Kwenye kila kitu kuna bahati ina play part, hata kwenye maisha kuna situation bahati inambeba mtu mwingine haimbebi
Kubishana kuhusu hili ni kupoteza muda
 
Kikubwa watakuwa wamekata zile ngebe za medali . Bado wanajenga timu hakuna wanachodaiwa.Mwakani ni mabingwa wa CAFCL
 
Baada ya matokeo ya 2-0 dhidi ya Berkane kule Morocco nimeoana wanasimba wengi wakifurahia haya matokeo, kuwa watapindua meza (Remontada)
Mimi nilichoona ni kwamba RS Berkane wameingiwa na hofu
 
Kweli Simba walitakiwa wazuie wasifungwe zaid ya goli moja kwasababu Waarabu watakuja kutafuta droo tu na kujiangusha.
 
Simba wafahamu tu kwa ukuta wao mbovu, wale Berkane hawawezi wakawaacha salama ndani ya dakika zote 90 kwenye mchezo wa marudio!

Halafu wale jamaa siyo sawa na wale Waarabu nyoronyoro wa Al Masry waliokuwa wanajiangusha hovyo uwanjani. Berkane ina wachezaji wa kukimbiza uwanjani muda wote! Lakini pia wana stamina ya kutosha.
 
Na simba ikilichukua hili kombe mtakuja na misemo mingine ya kumdharau Berkane
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…