Wanasimba wenzangu tusijidanganye, Berkane sio Al Masry au Constantine

Kwenye kila kitu kuna bahati ina play part, hata kwenye maisha kuna situation bahati inambeba mtu mwingine haimbebi
Kubishana kuhusu hili ni kupoteza muda
Ukizungumzia hivyo una maanisha mipango ya mungu
 
Kwa niliyoyaona Jana Simba Ina mlima mrefu sana wa kupanda Berkane siyo wa mchezo mchezo
 
Mi nadhani Simba wanaweza kushinda
Berkane walipaswa kuwachapa Simba angalau goli 4 ili kujihakikishia kombe hapa mi naona kama wamewapa zaidi morali changanya na uchawi na mbeleko ya marefa inayoonekana kuwa upande wao msimu huu huenda yakapindua na kubeba kikombe
Dua yangu game ipigwe kwa kina makame zenji huenda itapunguza "wizi"
 
Sawa
 
Yaani kwa ujinga ule unajiona kabisa utamfunga Berkane. Kwa akili kama hizi ndio maana Mhindi anawalia sana vihela vyenu vya betting.
ungekuwa mtu wa mpira usingeandika huu upumbavu.
simba wakati anacheza na al masry kule misri alichezaje?
na hapa kwa mkapa alichezaje simba?
 
Simba wakijiandaa vizuri kombe wanabeba. RS Berkane wapo vizuri ila wanafungika.
Naipa Simba nafasi kubwa ya kuwa bingwa kama wakijiandaa vizuri na kuacha kulilia kwa Mkapa.
 
We waarabu ni weupe kabisa. Game ngumu ambazo Simba kacheza ni ile ya wale Wasouth(nusu) na ile ya Sfaxien (makundi)... kama alitoboa hapo, basi hashindwi kutoboa pale
 
Kwa hiyo Gongowazi mpo kwenye Ndondo ligi kuu.?Wewe sio katika wale wawili wenye akili lakini unaonyesha matumaini ya kupona.Ongeza bidii.
Hilo la kuwa sipo katika wenye akili nalijua sana mtani na nimelikubali kitambo sana kama uto wenzangu, japo ni vizuri ukumbuke hata saa mbovu hupatia majira!!
 
Niliwaambia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…