Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 2,194
- 4,805
- Thread starter
-
- #61
Kweli?We waarabu ni weupe kabisa. Game ngumu ambazo Simba kacheza ni ile ya wale Wasouth(nusu) na ile ya Sfaxien (makundi)... kama alitoboa hapo, basi hashindwi kutoboa pale
Simba alivyocheza na Al Masry alicheza vizuri sana, kaangalie hats takwimuungekuwa mtu wa mpira usingeandika huu upumbavu.
simba wakati anacheza na al masry kule misri alichezaje?
na hapa kwa mkapa alichezaje simba?
Mkuu ongezea hapo Simba kukosa mshambuliaji wakati namba 9 mwenye nguvu, akili, jicho la goli na mwenye matumizi mazuri ya kichwa. Mukwala na Ateba hakuna mshambuliaji wa maana pale Simba. Na kama Simba inahitaji kufanya vizuri mbele ya safari basi ifanye maamuzi magumu ya kuachana na ama wote wawili au angalau mmojawapo. Haiwezekani mipira inapita kwenye sita mpaka Mutale atoke pembeni akutane nao afunge au Kapombe beki atoke huko pembeni mbali aje apige kichwa sasa kazi ya namba 9 ni nini?.Vitu vilivyofanya simba ikose ubingwa wa cafcc:
1. Wizara ya michezo: kutokutengeneza uwanja ingawa muda na pesa walikuwa navyo
2.Kucheza uwanja wa Amaan badala ya wao wa Mkapa
3. Wachezaji kukosa na uzoefu wa mashindano makubwa
4. Red card
5. Berkane ilikuwa ni mlima mrefu kwa simba