Amavubi
JF-Expert Member
- Dec 9, 2010
- 30,156
- 13,258
Nimekua najiuliza maswali mengi sana kuhusu wachezaji wanaokwenda kujaribu bahati zao nje na majibu yao wanaporudi
Kuna wale wawili walienda TP Mazembe ...................
CHANONGO NA UBWA NDANI YA UZI WA TP MAZEMBE, MUNGU WABARIKI VIJANA ...
Wachezaji wa Stand United ya Shinyanga, beki Abuu Ubwa (kulia) na winga Haroun Chanongo (kushoto) wakiwa na jezi za TP Mazembe Uwanja wa Mazembe mjini ...
HIVI TATIZO NINI HASA
- Nauangalia uwezo wa Ajib na jinsi alivyoondoka kwenda SA na majibu yake aliporudi na kuishia kurudi Simba.........................JINSI ALIVYOONDOKA NA KURUDI KINYEMELA
- Ajib Amefuzu Majaribio Afrika Kusini ;Ibrahim Ajib Aanza Vyema Afrika Kusini -
-
- Namuangalia Farid Mussa hadi leo sijaju muendelezo wa issue yake kwani aliripotiwa akifanya vyea huko Spain; Tetesi za Usajili: Faridi Mussa afuzu
- Tukumbuke hata Samatta wakati fulani alienda kujaribu Ulaya na akarudi Mazembe na kizungumkuti
- Namuangalia pia Jonas Mkude kwamba 'alienda SA kujaribu bahati yake na kurudi akaishia kupewa unahodha Simba japo ni mchezaji wa juu sana