Wanasoka Wanaokwenda Majaribio Nje ya Nchi

Wanasoka Wanaokwenda Majaribio Nje ya Nchi

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,156
Reaction score
13,258
Nimekua najiuliza maswali mengi sana kuhusu wachezaji wanaokwenda kujaribu bahati zao nje na majibu yao wanaporudi

  1. Nauangalia uwezo wa Ajib na jinsi alivyoondoka kwenda SA na majibu yake aliporudi na kuishia kurudi Simba.........................JINSI ALIVYOONDOKA NA KURUDI KINYEMELA
  2. Ajib Amefuzu Majaribio Afrika Kusini ;Ibrahim Ajib Aanza Vyema Afrika Kusini -
  3. HAJIB-1.jpg

  4. Namuangalia Farid Mussa hadi leo sijaju muendelezo wa issue yake kwani aliripotiwa akifanya vyea huko Spain; Tetesi za Usajili: Faridi Mussa afuzu
  5. 3106622_heroa.jpg

  6. Tukumbuke hata Samatta wakati fulani alienda kujaribu Ulaya na akarudi Mazembe na kizungumkuti
  7. 10690055_930864356931841_364362052221467735_n.jpg

  8. Namuangalia pia Jonas Mkude kwamba 'alienda SA kujaribu bahati yake na kurudi akaishia kupewa unahodha Simba japo ni mchezaji wa juu sana
    JONAS%2BMKUDE%2BBIDVEST%2BWITS.jpg
Simon Msuva hali kadhalika
MSUVA1.jpg

Kuna wale wawili walienda TP Mazembe ...................
home-1451971605_04ja16-haruna-chanongo-et-abuu-ubwa-zuberi-deux-tanzaniens-a-l-essai-au-tpmazembe_1451971605_1451971605.jpg

CHANONGO NA UBWA NDANI YA UZI WA TP MAZEMBE, MUNGU WABARIKI VIJANA ...
Wachezaji wa Stand United ya Shinyanga, beki Abuu Ubwa (kulia) na winga Haroun Chanongo (kushoto) wakiwa na jezi za TP Mazembe Uwanja wa Mazembe mjini ...

HIVI TATIZO NINI HASA
 
Mkude, Ajib,Farid Mussa bado wananafasi kubwa kama wataendelea kujituma na kuangalia nchi sahihi ya kufanyia majaribio samata siyo faa kwenda kwenye nchi hiyo...
 
umri unakwenda ndio tatizo. ila nimewaangalia juzi Mkude na Ajib ni wachezji wa juu sana
Mkude, Ajib,Farid Mussa bado wananafasi kubwa kama wataendelea kujituma na kuangalia nchi sahihi ya kufanyia majaribio samata siyo faa kwenda kwenye nchi hiyo...
 
waende mbali
Mkude, Ajib,Farid Mussa bado wananafasi kubwa kama wataendelea kujituma na kuangalia nchi sahihi ya kufanyia majaribio samata siyo faa kwenda kwenye nchi hiyo...
 
Hivi yule anaitwa Mrisho Ngassa yuko wapi? Clabuni hayupo wala stars hayupo. Kunani?
 
Tukubali tukatae, utapiamlo ndo kikwazo kwetu. fullstop

hawa wazungu wanajua kabisa kwamba afrika mashariki hususani Tanzania wananchi walio wengi wana utapiamlo kitu kinachoathiri ukuaji wa mwili hivyo nishati ya mwili kuwa chini. Tukiukubali ukweli na kuufanyia kazi tutafika tunakoelekea. Hapa historia inatumaliza, wanatujua pengine zaidi ya tunavyojijua. utamaduni na mkauzi yetu.

Rai yangu; ukiona una kijana mwenye mapenzi na soka au wewe mwenyewe unataka awe mwanasoka usisubiri kuwekeza mapema, asubuhi mpe chakula cha kutosha kama maharage hasa mabichi yenye mbogamboga na mkate mzima au ugali robo na majuice kabla ya yote na ajitahidi kufanya mazoezi kwa nguvu wakati wa jioni.

asipocheza soka la kiwango cha juu, ni bahati mbaya sana
 
Back
Top Bottom